Confession #447

#447 468

Aki am stressed imagne my sister ako na mtoi boy na Niko na girl so huyo boy yesterday aligonga mtoi wangu akamuumiza nikanyamanza pia leo amemugonga vibaya mama take akimuangalia bila kumfanyia chochote,,kumuuliza y uyu mtoi wako anapenda kuchapa mwingine na hata ajamkosea,then my sister akanishow ety nivile haujazaa kijana ndio mahana unaangalia mtoto wangu na asira,,aliniambia vizuri kweli na Niko na bol nimelia a
Hadi na feel vibaya kwa tumbo.

May 2, 2020 |
2
0
2021-01-13 21:31:19

I hate it when mothers bring up spoilt boys preaching us ooh “wewe hujui boy vile hukua”! Nonsense.. Lea mtoto na adabu acha kutuhubiria ni boy what is the difference, kitu ya kukojoa!

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:19

You should learn the developmental stages of children as there is a stage they become egocentric to an extent of biting and beating others. Let that not bring enemity between children of the same womb. Hope it is clear.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:19

nonsense.. Kwani ni MTU anaumbaga mtoto.Don’t allow people to step on you. Sasa unalia nini?/just stand with your child. Again wewe na your sister mnakaa pamoja na tena uko na bol???

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:19

Mtoto mfunze respect ka mamake ameshindwa kumfunza,,,huyo dadako akikuuliza,mwambie unamfunza adabu coz ameshndwa na kazi yake ka mzazi,,, tena kwani we na dadako mmeoleka kwa familia moja

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:19

The best thing is that you train the boy that its not good to kuchapa mwingine na if hakskii dipline him and tell him that the gal is her sister less he will grow up knowing that its good yo kuchapana ikizidi mshw dadako aende kwake ama kwa mamake

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:19

Kwani u both live under the same roof …how?? mmerent pamoja ama aje??then WWE ambia mtoto wako akingongwa angonhe if the mother can’t the wacha ajiulizie ai nonsense n at maybe utapata mtoto kijana don’t stress yourself

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:19

Kijana ni gari za kuenda wapi tena. ….vijana ni hawa wamekuwa rotten hivi ama?? Mtoto ni mtoto and that’s kinda nonsense I will never entertain my advice is mwambie amkanye mwanaye if not Mgonge juu ni yeye ako na fitina ikiwezekana chukua panga mwambie utamkata kichwa upelekwe kamiti akizoe jifanye crazy unajua crazy piga nduru kali then chukua machete fanya kama unaugeuza hivi muweke maslap ya panga mwambie akichezwa na wewe angano lake na Mungu litatimia.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:19

Ok mmi kile ntakushow ni ety mtoi ni mtoi,hakuna cha kijana na mschana,wwe mwenewe kaa kama mzazi wao,vijana huwaga wachokozi ukiona wanapigana chukua kiboko wwchape wote ukiwwambiaga kuchapana plus kuchokozana ni vbaya,yle mtoi mwingine ataogopa,pia ataogopa uchokozi kwa wenzake,,my dear msingi mzuri au mbaya huanzia chini,na usipowafanyia hivo wataishi kukupa stress,,,,Mmi ni watoi wangu wenewe kijana alikua akitaka kupanda kwa bed,anamkanyagia the girl kwa mgongo ndo apaande,so nkamkuta siku moja akiwa gal amekataa kuwa daraja,so the boi alichukua kimawe amgonge mshana,nikwambie biliwachapa wakatii hadi wa sasa yye husema asaidiwe but sio vita ya post elections,,,,,,Na kwa dadako mwongeleshee pole pole mwambie hamfunzi mtoi wake vzuri,na akiendelea na uchokozi atawa mtoi mbaya hadi kwa jirani,,,asposkia achana nae,ukirudi kwako utatulia,,,mmi naishi na Siz yangu ako na watoi,pia mmi nko na watoi but hutawahi wapata wakichokozana

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left