Confession #564

#564 301

Aki i met this guy last year bt one tukapendena,alikuwa ananitreat kama queen,surprises nazo,akanibuyia phone,malate night dates, movies,kupelekwa shopping ,kidogo kidogo tukamove in pamoja ,he nevee used to hide his passwords,alafu akanisho akona mtoi ,nikam accept hivyo na mtoi wake,nikapelekwa kwao December 😭😭,wacha shida ianze vile tu nilikuintroduce kwa beshte yangu dem 😭😭😭a mistake that i will never ever repeat again!! Kuna time huyo dem ali…kuwa na doh zangu so alikuwa anadai kunitumia nikamsho niko na fuliza atume kwa number ya bae bt si ile WhatsApp, number ingine tu hua haitumii sana.So after a week huyo dem akanicall akanisho ati bae wangu amemkol kumjulia hali, nikashanga sana mbona bae amkol ,waongee nini ,kufika home after job nikamuuliza if he called her akasema hakumcall,my friend alikuwa na mtoi wa 2 months so mimi nikajiambia aih hawa waezi katiana juu huyo dem akona mtoi,then one morning kitu ikanisukuma kuangalia simu ya bae😩😩 nikaenda kwa mpesa messages nikapata amemtumia 3k ,kumbuka huyo dem hajanisho aki ,na pia bae huko amenyamaza ,mimi na mahasira zangu siku ngoja amalize kuoga nikamuuliza mbona alitumia beshte yangu doh bila kuniambia akasema ati alimwomba na akasahau kunisho,so i went and quarreled her,nikamsho si poa what she did,akanisho yeye alijua i was told na haikuwa kitu ya siri..wachani nilie kwanza narudi kuendelea kuendelea na part two😭😭😭😭

May 15, 2020 |
0
0
2021-01-13 21:31:23

Hahaha.. Venye tunakulenga ndo boyfriend atakulenga tu juu ya hii ujinga

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left