Confession #1137

#1137 147

Aky mnisaidie am stressed up,, so kuna huyu bibi wa bro wangu ameoleka 3 months ago.. So nilinunua braids za kushuka kwa nywele na nikaweka kwa nyumba, so kufika last week huyu msichana alichukua hizi vitu akaenda kushuka bila kuniuliza, so kufika next day niliona huyu msichana na hizo vitu kwa nywele nikamuuliza kama ni zangu ama alinunua zingine kama zangu, akanishow ni zangu.. Then nikamuuliza mbona hakuniuliza before azichukue akasema anatoa anipee, then nikamwambia asitoe akae tu nazo.. Bwanake kukuja aliambia bwanake aty nimemwambia abomoe hizo braids anipee nikaambia bwanake simkumshow ivo,, nilimshow akae tu nayo.. Then bwanake akamwita penye nilikua nafua akamshow never and ever accept anything from me, be it food, present or gift asiwahi chukua, nikanyamaza tu.. Then mamangu kukuja bwanake (which is my brother) akaambia mum ety nimeambia bibi yake abomoe nywele.. Nikaenda hapo then nkaita huyo msichana akuje aseme ukweli venye nilimwambia then bwanake akakataa asikuje hapo.. Hio siku bro wangu aliniambia nisiwahi kanyaga nyumba yake, na nijue huyo ni bibi yake, nikiumiza bibi yake nijue ye pia anaumia, nikiongelesha bibi yake vibaya nijue ye pia anaskia uchungu.. Me pia nikamwambia sawa,, nikatoka so kurudi jioni nilipata kama nguo zangu zenye nilipea huyu dem wameniekea juu ya bed, viatu zangu zenye zilianza kukua kwa hio nyumba yao last year July nilipata kama wameniwekea kwa mlango, nywele alitoa akaniwekea juu ya bed.. Of which hizo braids nilichoma viatu nilitupa juu zilisha haribika na nguo nilichukua tena navaa.. So from that day hawaniongeleshi kwa boma, mumangu pia anechange pia haniongeleshi, amesaide nao. Mnisaidie watu nifanye aje.. Naishi na wenye hawaniongeleshi

September 17, 2020 |
1
0
2021-01-13 21:31:46

F**k your brother
Make him confused between you and his wife
F**k him fr

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:46

Achana nao. Wala usiwe na stress. Keep yourself busy na mambo zako

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left