Confession #653

#653 275

Am 28 yrs old with one kid married and my husband is 30yrs old well stable in short pesa si shida kwetu.ilianza hivi….kuna siku nilikuwa tu hapa job around saa kumi na moja hubby akanitembelea job na hakukaa sana nikaona anapigiwa simu ghafla akaniaga eti acha aenda kwa hao by then nilikuwa bado hatujapata mtoi na ndoa yetu ilikuwa changa.nilijawa na wasiwasi mbona ametoka haraka hivo lakini sikumfuatilia mimi nilijipa shughuli…jioni ilipofika nikapata message kwa simu yangu eti ,,,,mwambie mume wako asipo nifanyia venye nataka hivi karibuni naja hapo kwake na mtoto wake tuishi na wewe….mbona nilishtuka….nikamuuliza wewe ni nani eti ni mpenzi wake.kuuliza hubby akasema huyo dem ndio anamtaka.nami kuskia hivo na ujinga wangu haki sikuelewa na chezwa,nikaanza kutukana dem hadi dem akamkol cousin ya hubby akamuelezea hadi huyo cuz wake akanikol kuniuliza mbona natuka huyo dem hivo hadi nimepatia mabeshte wangu wawili hiyo story wanatukana huyo dem pia…eti acha bwanako ndio chanzo achana naye.kumbe yule cuz ndio alikam na huyo dem kwa nyumba yangu alafu mi nilikuwa tao wakapewa kila mtu 5saw huyo dem juu hakuniona kwa nyumba akajua ashaa pata bwana.alipomtongoza akajua basi,amegonga ndipo.so kutoka hapo ndipo hubby aliachana naye venye nilijua akajifanya venye hataki hiyo story akaniomba msamaha tukatulia…dem pia akapata bwana akaolewa kumbe hakuwa na mimba yeyote ni chocha.kutoka hapo nikapata mimba nami hapo hubby naye akaanza zake .imagin nikiwa na mimba madharau ndogo ndogo.coz nina maduka na wafanyikazi,anaweza toka job kwake mapema eti aende duka yenye ina dem akae huko saa zingine nilikuwa na sence mwenyewe namkol namuuliza huko wapi,eti niko hapa kwa mpesa….nilikuwa nashangaa sana juu duka zingine ziko around pale nakaa…anapita nyumbani anaenda kukaa kwa dem cjui kufuata nini.haki hilo jambo lilikuwa laumiza sana juu dem wengine walikuwa my cousin.

May 25, 2020 |
2
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left