Confession #553

#553 419

Am a father of two. Niliachana na mama yao miaka sita iliopita nilikuja kupata dame mwingine tukapedana pia yeye ako na watoto wawili hii ilikua 2018 but alikua aede job Dubai 2019 January tukazikizana nikae na mtoto wake mmoja juu huyo mwingine alibaki na baba yake.Alieda January 2019 tukiwa tumepenga Kila kitu na tukaedelea kupanga.Alikua na nyumba yake ambayo nililipa mwaka mzima but tukaongea nitoe vyombo zote na nguo zake niweke kwangu juu tulikua tumekubaliana akirudi after two years ni kuoana.Niko na mtoto wake ambaye ni Mimi nasomesha.But hii 2020akawa anichat Tena kutaka kujua ananishow ni juu hakuna wifi.After kutaka kufikia Sasa ameniambia anipedi Tena kumuuliza sababu haniambii.Sasa nashidwa nifanye Nini Kila kitu chake Niko nacho pia mtoto na amesema anipedi sijui nifanye Nini am really stressed nisaidieni.Juu nikimwambia nirudishe mtoto kwao hataki vyombo nikimwambia ajue vile tutafanya ananiambia ningojee atakunja kuchukua na Mimi nataka kumove on na Maisha yangu.

May 14, 2020 |
1
0
2021-01-13 21:31:23

There is nothing to stress my brother take her properties including the child to her parents and forget that lady .

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Rudisha mtoto na vyombo vyake kwao af utafte bibi uoe akuzalie uleage mwenye wajua ni wako.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Pole,,but ujue huyo ni bibi ya wenyewe,,kama aliacha mtoto kwa baba mzazi,ujue akili yake yote iko kwa mumewe na mwanaye,,,hii ingine hataki upeleke mali yake na mtoto,,hio ni siri yake kubwa,,hataki watu wajue alikua mkeo,,so my advice kama ashakwambia hakupendi,,chukua mali yake yote pelekea mamake,na uoe kabla hajarudi,,,

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

U don’t need advice already unataka kumove on do so, sometimes we do things in the name of love and if the fail don’t force# mtoi hana issue be kind and good to her/him one day God will reward you

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Sasa nini inakustress hapo? Ulimsaidia ukamlelea mtoto… Mungu atakulipa. Meanwhile don’t request for her approval… Beba mtoto na kila chake rudisha kwao kesi atafanyia kwao…coz wewe sio NGO yake….

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Haraka haraka ahina baraka…jaribu kutulia kiaxi coz it depend na job alienda kufanya maybe Boss ataki issues zake na simu..or WiFi pia aishiki na malipo pia hakuna plz relax relax …umjaribu next months and pia wewe wacha kustress huyo dem na kumpigia pigia simu kila Mara .. Thus why ameanza kukushow heti akutaki coz kuna agenda hidden …sema words ulimwambia kwanza that bring hiyo word ya sikutaki….otherwise siku njema bro

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Hii leo imenishinda it’s Soo heartbreaking 😥😥

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Kuchukua izo vyombo na vitoto peleka kwao alah!kwani ni Nini iyo kubwa ivi inakusubua.my use your own money for your happiness,usikue ugari apo and next time be careful

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

juz move on bratha.huyo alipata doh datx y amemea pembe.park v2 zake na mtoi wake.apatane nazo kwao

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Aaih!Aseme hakupendi tena akatae urudishe mtoi kwao?Uyo anakuchezea bro mrudishe na ata izo vyombo.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Mngoje akuje achukue vitu zake wenyewe na mtoto,dio asije akasema kulikuwa na kulikuwa,wacha ujionee kwa macho,atalia badaye

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Go n show de parents wat is going on then hamisha her belongings together with the kid

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Kwa hii mambo yote huyu mtoto wake unaishi Naye ndio ataumia… pooor kid

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Ashaapata sasa ni wewe uko na shida rudisha mtoto na uanze maisha ingine

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Peleka mtoto na vitu za hiyo nyang’au kwa sahii.Watoto wako wapi?
Kesi baadaye.

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left