Confession #891

#891 110

Am married as a second wife,huyu mwanamme alinioa after after wife alikua ameenda, vile aliskia.bwana ameoa she came back,by then nilikua na bol one month,Sasa nikaambia bwana sitakaa happy na huyo mke juu alikua na kelele Sana kwangu na matusi mingi bwana akanirentishia happy far away from huko kwao nmekua nikikaa tu,bwana anafanya job mbali juu alipewa transfer,Sasa yeye hukam end month na pia hua anaenda home just huyo wife Ako na watoto watatu,Sasa tulikua tunakaa tu poa juu I accepted to be a second wife juu sikua ready kurudi home kwa my mum who is a widow kumbother na shida zangu,Sasa nilijifungua 2 months ago na juu bwana mwenyewe alikua mbali I had to send the photos of our new born via WhatsApp,amekam kutuona after mtoi Ako two months only,nilipoona simu yake I didn’t see the photos plus tumekaa na yeye three days ndo akarudi job,in those three days nmenotice simu inaekwa flight mode nkimuuliza why anasema hataki kusubuliwana watu kazini only for me to realise aliambia wife ameachana na Mimi,na anaeka flight mode juu the wife anaezakol tukiwa nae na askie mtoi wangu akilia ajue tuko pamoja ilete shida,yeye ndo hunifanyia Kila kitu leave nyumba from rent to food and clothing,Aki sijawahifikiria mtoto wangu kukaa bill babake but am so stressed juu now I feel the man haniambii ukweli na I am just being wasted,cjui nivumilie mtoi akuekue mkubwa nikipata job nimtoke au nifanyaje,my baby is a girl na ninaona the earlier nitatoka the better kuliko niendelee kukaa Kisha nipate watoto wengine na yeye baadae wateseke bure in case atoweke juu hajaambia his first family kua tuko pamoja.

July 5, 2020 |
1
0
2021-01-13 21:31:38

So, i was dating a guy then this guy akasema anadai mtoi.. So nkapata ball after that the guy akamove on na another gal.. So akanishow i just abort juu itakuwa ngumu so asked him you said you need a kid sasa nini hii umeleta akasema yeye amepata wife..nkasema sitaarbort.. So the guy blocked me everywhere after a month i was unblocked.. He still stays with the gal… Funny enough anataka tumeet tuhave sex nkimuuliza mbona na anapewa anasema am still his.. Anasema nisijaribu kufanya sex na mtu mwingine nkineed Nimuite atakam…
Sasa swali ni kurudi anarudi ama nkunitumia anataka kunitumia ama.. Juu Kuna time nilimshow nimemiss hapo kitambo akanishow nitafute mtu around my place ata nitafutie mtoto baba mwingne…

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left