Confession #924

#924 392

Dear friends I need your help I feel I can kill my self hakuna hakuna kitu kizuri chenye kinakuja on my side nimelelewa kwa shida Tena nastragoli na life Kila saa wanaume unidaganya watoto nalea peke yangu

July 11, 2020 |
2
0
2021-01-13 21:31:40

My dear kama unataka amani kwa maisha yako sahau mambo ya wanaume kabisa na uombe Mungu aliye juu atakubariki,haijalishi inachukua muda gani but siku itafika ya furaha kwako….shugulika na mambo ya watoto wako,tia bidii kwa maisha yako na katika maombi,no situation is permanent

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:40

My advice is PRAY PRAY PRAY & PRAY Untll something happens. Usichoke tafadhali face ur God and work hard as a woman, MUNGU Hatakuacha.

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left