Confession #528

#528 141

Good morning anonymous friends. I feel so stressed leo, Kuna mtu na date Jana nilikuwa date naye, tukaenda out akachukuwa phone yangu na hainanga password. Aka check WhatsApp na kusoma text zangu za wanaume marifiki yangu. Vile tuliachana na yeye akaaza kuni text ati aliona wale wanaume huni kaita kwa simu na ati nimelala nao wote. Sijui nifanye aje. I love him.

May 11, 2020 |
1
0
2021-01-13 21:31:22

4ne ni ki2 personal jameni,hawa mamaz boys wenye hushinda wakichunguza 4n za wanawake huwa hawajaiva but they are just bigbabies…mwambie akome na akomae,atembezee 2 aende

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

Kwani wewe Ni wa wapi simu kazima iwe na password nani kwanza yangu iko nayo kila mahali ndo ujue umuhimu was password kwa simu

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

heheheh Mimi simu yangu iko na password 🗝unaanza kuchora saa moja una maliza saa tatu..😂😂

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

Yangu anaezalala nayo. He came to know no one calls me after all. Deal tu na mmoja mwenye unaona future nae. Mtaka yote….

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

Its too early for this ..
Personally i cant deal na mwanaume snoopy hivi..hawa niwale mkikosana kidogo atakuita “malaya kazi nikukatiwa inbox na wanaume

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

Kwan vle alikupenda alikuweka stamp usipende hyo n jinga ya mwanaume kwan hajui hakuna MTU hapendangwi

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

midogii kama higio unagiwachanishaga hapo gukibweka nawe unaendelea na shughuli zako alaa!

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

So he picks your phone and go search for what he wanted after finding he is asking you ,of what ? you found what you wanted go ahead with what you wanted to do after you found what you were looking for

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

My fon is my private gadget,i dont touch yours and dont touch mine,you snoop my phone without my consent we are done,its too early for such bullshit

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

Yaaani amekwamkia Kama chai,alikua anatafuta mahali mtakosania tu coz Alijua akichukua simu hatakosa Kitu ya kusoma

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

Akichukua yako una chukua yake.
Otherwise nguo ikiwa sokoni hata kama ni mtumba lazima watu waulize bei, who knows the buyer.
We’re single and may be searching

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

Huyo anakutafutia makosa tu bure ndio aende

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left