Confession #1054

#1054 157

Hapo mwazo nilikuwa nimeweka biashara na ilikuwa yakupika chapati Nikafika pahali ikainuka sana sana nika ongeza MTU tusaindiane sasa mamangu alikuwa na duka nilikuwa na chukuwa unga kwa duka lake siku moja shetani akaniongelesha mama haezi jua ongeza moja nikatii sauti ya pepo ju huyo ni pepo nikaaza kurudi nyuma pole pole nikaisha hata unga moja haishi watu wakaaza kusema tulijuwa huezi enda pahali hii soko watu hutumia madawa tukaimba huo wimbo nikafunga kazi baada ya mwaka jaa ikaaza sasa ndio nikataka kuaza biashara nyingine pesa haiyonekani miaka miwili mateso na huku watoto wako shule nikamwedea mtumishi wa mungu akaniuliza ndio biashara iishe ulifanya nini nikakubuka ile unga niliimba ya mama nikamchanganya hatajuwa nikatubu nashukuru MUNGU nilipata kufungua biashara nyingine tena zuri sana na niakaza kutolea mungu fungu LA kumi wewe unataka biashara yako inuke kwenu pesa za mzazi uliimba ngapi ukafanyia jia hazina maana sai unalia kazi hakuna biashara uliweka pengine na pesa za bwana ya MTU kama wewe ni mwanamke hiyo haitakuwa na baraka kazi ju haujui kama hiyo siku bibi ya huyo MTU na watoto walipewa chakula ndio upewe pesa mchawi wa maisha ya MTU mkubwa ni yeye mwenyewe

August 5, 2020 |
3
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left