Confession #1053

#1053 159

Have a girlfriend tumekua tukisaidiana kimaisha na ata financial issues huwa nikiwa nayo namsaidia na time sina hunisaidia.she has helped me to an extent naona waah nikaa anajinyima vitu mingi juu yangu inabidi nikatae but the problem is that wazazi wangu hawataki juu kuna msichana walinitakia of which atuendani kabisa je nifanyeje? Inaniuma sana

August 5, 2020 |
2
0
2021-01-13 21:31:44

be romeo to julieth never leave her

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left