Confession #414

#414 264

Haya, yangu hii hapa, am a 32yr old lady from Nairobi who needs your advice.I guess I could have told you how it started ndiyo uelewe vizuri. My mum hated me so much that nkiwa form 3 alinifukuza home na nkakuja kuajiriwa Kama housemaid huku Nairobi where I worked for a whole year kwa mama mmoja who never paid me a single cent because aliniambia aniekee ataniwekea kazi but I ended being raped by his husband na akaniharibu sana and I was admitted in hospital for 3 weeks but nkitoka hoc nlipata nguo zangu kwa a vacant house.niliteseka sana na nkatafuta kazi kwingine nkafanya for 5 months na bado sikulipwa. Niliacha kazi na nkaenda kutafuta my aunt who welcomed me but after a week akaniachia watoto na akatoroka. Nliteseka sana na watoto nkifanya vibarua ndiyo wakule. Yes I really struggled na nkaamua kufanya any available job for the kids to eat na nkaandikwa kuuza chang’aa. After some months my aunt came na mm nkaamua nkatafute kazi ingine since hiyo ilikuwa na alot of stress. Nilizunguka sana tao but finally nkapata job ya hoteli pale kamukunji. After 2 days ya kuzurulisha chai kutoka kamukunji to marigiti I met a man in suit akinisalimia na kuniambia nimuuzie chai which I did but hisia zangu zilikuwa zinanisumbua mbona mtu Kama huyu asiende kunywa chai kwa a nice hotel but nkatupilis mbali mawazo nkamuuzia. He told me yy Ni pastor na mungu anamfunulia vile nko na shinda mingi and whatever I have been through. After some minutes a lady and a man also joined the conversation wakaanza kuambiwa zao pia but I don’t know what happened nilijiskia nikiwa peke yangu na wakahepa na thermos, vikombe ,mikate, mandazi and everything. I cried river but walikuwa washenda and I decided nkaambie mwenyewe who got very mad na kuniweka cell ety nimeuza vitu zake…To be continued.

April 22, 2020 |
6
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left