Hello guys. Kila time nikipata dem tunaongea but after one month relationship inaisha without any valid reason> What is wrong with girls? Or is it just me?
Do you think or listen to your self before you speak?what of your character?does your deeds speak louder than words?
Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37
Sorry to say u shud know beta xos u are a pastor (God’s timing always da best)
Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37
Maybe your mouth smell foul, or you are suffering from herbal diarrhoea , stingy and possesses a brain like of a chicken.
Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37
anyother man dating or is accepted by a lady here the trueth is once tumeelewana you go back and the only thing you start are good morning , how was your day good evening umeshindaje, niambie and etc, surely how now. dont you even one day use your MPESA App to communicate? umeamkaje na labda nililala njaa. nikutembelee lini? such questions are outdated. my opinion.
Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37
Nilikua ivyo but nligundua sikuwa na love ilikuwa by the way but mpka sai jiko inapishaaaa
Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37
Unajua Dem Ni mtu akiona chali anajua atamsaidia kwa njia moja ama ingine,,so akiona humsaidi chochote yeye hukutoka tu kwa njia rahisi unabaki ukijiuliza kwani kumeenda aje na wengi hawakuambii it’s over,,,,,,,
Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37
Unajua ukipata mwanamke fast anaangalia msimamo wako ni up wa kimaisha ukiwa huna msimamo my friend unamkosa
Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37
Penda mtu ya ukweli cheza ka wewe muoneshe mapenzi kaka uwezi amini ATA awezi kaa bila weww