Confession #1241

#1241 126

Hello guyz. I really need your advice and help here. My husband and I have been in a long distance for a while now coz I have my own bussiness place ingine and I have to manage it, the main issue is whenever he makes mistakes I forgive and I completely forget within no minutes no matter how bad amenikosea but whenever I make the slightest mistakes the only thing he tells me is “feel free and do what makes you happy” when my sister asked him why we are not in good terms he said he don’t think he is good enough for me that oflate hajakuja kutuona ju ya vile job imemfunga so anafeel hanipei enough. Nikikuuliza mbona ananiacha anasema hajaniacha, ni freedom ananipea. Men in this group ni nn inaweza fanya ufeel like you not doing enough to your wife and kid? Ama shida inaeza kuwa nini..?yani Kila time nikifanya mistake kidogo hajui kuforgive ju ni Kama huwa anajiacuse, ata sijui.. it’s rera Sana nimkosee ama anikosee.. we are not perfect but ni rear tuargue coz everytime amekosea anakuanga so quick to apologize so I forgive and forget. Lakini nikikosea ata niapologize aje huwa unaambiwa tu feel free I set you free so that you can be happy.

January 8, 2021 |
3
0
2021-01-13 21:31:49

May be bizna yako inafanya vizuri na kuleta pesa kuliko kazi yake. Anaona uko independent na anahisi akiwa insecure. Ongea na yye na umhakikishie unampenda,,,,may be at a change

Mbwegze
0
0
2021-01-13 21:31:49

May Be Anaonaga Ukimkosea Ni Kwasababu Unamdharau Ju Ukona Pexa Kw Biashara Yako,mwanaume Anaskiaga Akiwa Gilty Bibiake Akiwa Na Pexa Mob Kumliko Anaona Anytym Anaeza Enda Na Ujikalishe Ogea Nayy Na Unyenyekee,pia Muusishe Kw Mipango Ya Pexa Na Maendeleo I Mean Mulizage Mawaidha Ka Ur Hubby Ata Yy Asikie Kutambulikana Ka Mwenye Boma

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:49

Huyo alimalizana na wewe kitambo….infact he is straight with you….otherwise how can you set some one free that you so want in your life? How can you set someone free if you have a future together??

Keshi
0
0
2021-01-13 21:31:49

This only happens when there is repetition of the same mistake over and over……unachoka kuongelelea kitu moja Kila saa….

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:49

Nikama anajichukia .so ukimkosea anaona unamdharau zaidi. Usijitegemee sana hata ka uko na business. Involve him in everything my dear ndo aone anatosha n he has a say in his family.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:49

Inafaa umuinvolve in every step of the way. Ukifanya kivyako unamake to matters worse.

Bazenga
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left