Confession #791

#791 188

Hubby alinifukuza na 7 kids n that time i was pregnant sasa mm nikaa zaa mtoi wangu then nikaenda kuhustle gulf God akanibless nisomesha my children n sasa the last born ako form 4 my then mm nilinunua plot yangu na nikabuld a good hse n sasa am still in gulf n sm planning to buy a car sasa my hubby aliuulizia my no akanipigia ananiambia nimsamehe ati turudiane.

June 10, 2020 |
7
0
2021-01-13 21:31:34

Haha ati umsamehe?My foot. Akikufukiza he thought your God was asleep akasahau Mungu sio binadamu halali mabaya aliyokutendea ndio yalimfanya Mungu akuinue sasa skia dada…..huyo jamaa aendelee na life yake humtaki if possible block his number. But follow your heart

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Usimrudie kwa maana hakuona thamani yako ulipo kuwa ukinyonyesha au na mamimba sai mungu amekubless sasa ndio anataka mrudiane atahakikisha amekurudisha nyuma tena usimuamini wee move onwatoto ni wakubwa sasa

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Mambo ya mapenzi ni ngumu Sana’a.. Haezi jua kitakacho tokea esp kwa wale wameishi pamoja for long…weee tu amua vile roho yako inataka but Mimi Nina swali,watu wanatoanga wapi nguvu ya kuzaa watoto hao wote…Navile kubeba mimba ni kazi…Mimi nkaulizwa naeza sema nikae tu na mmoja na watu wanakazana kuongeza..enyewe mungu niwamaajabu …

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

When a man deserts you anafurahia akisikia unateseka lakini ukifaulu anakuonea wivu.huyo wivu ndio inamnyonga ni kama amesikia unataka kununua gari.Hebu wachanga naye na uendelee na life yako.Alifikiria amekuweza kumbe kumbe alijiweza.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Anataka akupee Corona ukufe abaki na mali😂😂continue quaratining yourself…tell him you have forgiven him but going back is a no…but if you love him then it is your choice but hope you wont cry

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Let me tell you utarudi tena vizuri Sana na mtakakaa poa bila kusumbuana watoto wenu watawaleta pamoja , but ulikataa nakuambia hutakua na amani na hao watoto ujue ni ile damu mbaya ya bwanako time will tell

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

We are not fools ……ati are a mother wa 8 kids na umefunza wrote….. In less than 16 years while in gulf…. Build a build I ng there.. And you are still there. I think you you are over 45 and you can’t relay on Feb to advise your caliber you are just alier and we are not fools

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Woman , that man is after you because he is seeing what you have, don’t even think about him. Be like the president of single mothers in Kenya , Her Excellency Madam Akothee , a very hard-working woman.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

We are all weak…kila mtu hufanya mistake naa mtu akijigundua makosa yake n vizuri..Mungu angekupa Mme mzuri usingekuwa na plot yako, usingekuwa na plans za kununua gari..Mungu anayo sababu ila Kwanza, mpe vitisho

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

You bring up seven kids single handedly while their dad is alive akibonda raha and after they are all grown anataka kurudi!!!!🙆🙆🙆nyangau Kama hiyo unashika unatahirisha round twoo inakosa kupona inakufa

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Tuseme rima yenye ulisomea,ata ikipakwa rangi,utarudi,I mean you are a heroine to single women and to your children,so don’t start stressing them up,they are used of not having a father around,let them be,and as for you,look for a man who is responsible,si matatizo# my opinion

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Aende akiendaga…….. Infact unawacha anatembea,,, wanamserve kisha arudi anakoishi…….. Yeye ni KUPE, HAKUNA KUVUNA KWENYE HUJAPANDA

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Mtu alikufukuza,umehangaika na watoto,ukawasomesha,all those years he was nowhere,sasa sahi anataka kuja kuenjoy nyumba yenye hakujenga n akue dere kwa gari yenye hajebuy,aaih mama wanaume pia bure kabisa…we endelea na life yako,ataleta tu badluck kwa life yako

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

That total madness umsamehe msaidiane na nini na Ile kazi ngumu nikulea anataka arudi msaidiane nini Tena usijalibu edelea na maisha yako mama mtu anakuzaliza kama gere Ana hepa akijua kazi imeisha arudi kukula Sasa

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Wale wanasema ety 8kids kwani kuna shida? Nyanya wenu walizaanga wangapi?Hugs mummie if that’s true, halafu huyo hubby wako msahau kabisa

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Don’t after watoi kusomezha na kuhashel pkee yko ndio sasa amepta haja yako …mbna hakuulizia numba wakati ulikua na shida?????msamehe but kurudiana atembeze kiatu

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Mimi hio ata swezi advise cz it’s like wewe huwezi jiamulia so fanya venye unaona vizuri juu mm huyo ata sauti ama kuskia akitajwa siwezi

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Don’t accept that b***h back in your life. I don’t know what advice you’re asking my dear.Alidhani utaparara na watoto. Fanya mambo zako kimya kimya.Somesha watoto awaonee viusasa just like I did mine. Wakabwekee huko mbali

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

that where men says we’re wicked how can you struggle alone and after success he come to convince you eti mrudiane. hutajua haujui count day’s down the line utarudi ukilia hapa. mshow zenye alikosa ndio akatembeza kiatu bado hakuna ajisort mapema.

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left