Confession #640

#640 104

Huyo dem anadai anafanyia husband yake kila kitu inafaa ajue kuna kitu kwa wanaume mungu aliwabariki hivi :_mwanaume huwa anajituma kuweza kumtafutia bibi yake Ata kama huyu mwanamke hana kazi kwa maisha yake yote mungu atambariki kuishi hii Dunia. Yeye hutasikia akilalama hata kidogo eti kwa nini ww huwezi tafuta kazi kama wanawake wale wengine. Kwa maisha yake yy hupenda kumsaidia mke wake kwa kumwekea kazi kidogo angalau yy akipata upande wake na pia mke akipata kidogo kwa kibanda yake anashukuru Mola. Mm ningemsihi mkae chini kama watu wazima, Wewe mke uliza bwanako nikazi gani yy hupenda. Ukiangalia wakati huu kile kitu kinatembea Sana ni Chakula. Unaweza mka chukua mkokoteni, nenda kwa soko uziwe vitu kwa bei ya wholesale halafu mwende nazo nyumbani mpange kwa bei ya retail vitu kama viazi, mboga, vitunguu, nyanya nkt, halafu mzee azungushe akiuza utapata ya kwamba mtapata faida kidogo kuliko kukaa kwa nyumba. Najua mzee yuko na stress coz labda hajawahi fikiria aweza kuwa hayuko kibarua Ata siku moja. Mpatie muda mpaka aweze kujiamini kuwa anaweza kufaulu Ata bila kuajiriwa

May 24, 2020 |
3
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left