Confession #753

#753 529

I am a mother of one i met this guy on facebook na hatujameet bado and he claims to love both me and my baby hadi hua anapost mtoi fb me as well and and hua ananiambia he told her mother about both me and my kid of which i doubt..the problem is this guy hua anakaa ananza kunipea mashida yake aty ooh leo sijakula lunch uko na macoins kwa mpesa unitumie aty ooh nadai kubuy movie uko na kachwani uniokolee aty nko tao nadai kwenda home uneza kua na fifty bob kwa simu ntarefferd saa siku moja nkamsend mia moja nione kaa atarefferd vile yeye husema alirefferd fifty bob akaniambia atatuma hizo zingine akifika home kukaa like one hour akaniambia aty juu sina fare ntumie ile fifty bob ntakusend nkifika home ikiwa Mia..na deals ako nazo niza metre atu wanafanya kazi na kijana wa gavana kuna gold fulani wanauza atapata pesa it’s like now a week hes silent akidai ati phone ain’t allowed kwa hio deal kweli hio ni mapenzi.

June 4, 2020 |
1
0
2021-01-13 21:31:33

Weh babydaddies are destiny destroyers akiona unang’ara kidogo ivi anakunyemelea akurudishe nyuma via mtoto ignore that a*****e and move on

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:33

U can gal,maisha yakulea mtoi alone it’s a hustle,plus Kama hamkukosana akienda well am him in your life but take things slowly to get to know him well

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:33

Kwani yeye hula mawe? Wacha kubebwa kama mandazi are you for real?

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left