Confession #940

#940 78

I am new here and i need”Urgent advise please”… Nimefika ushagu Leo after 3 months tangu lock down iwekwe.Cha kushangaza nimepata wife ni mja mzito na nilitoka huko mwezi wa pili after watoi kuja mid term.Wakati huo alikuwa katika hali yake kwa hivyo hatukupatana kimapenzi.Mara ya mwisho kuonana ilikuwa Dec 31st tukiruka mwaka huh wa kisirani.Sasa mimba ni ya miezi nne na wakati ameniona sura tu ameanza kutapika akisema mdomo wangu unakaa kama nyuma ya ngombe ikihara.Mara sura yangu inatisha mtoi wake ndio maana mtoi anampiga mateke.Sasa nimeamua kurundi Nairobi juu hata hii post naiandika nikiwa stage .Je!…nirundu tuongee am a nirundi Nairobi??

July 13, 2020 |
2
0
2021-01-13 21:31:41

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:41

akutumia CD Aki ata hapo ni ukimwi tu…ata mtoto akikula sukari hawezi sahau kupanguza mdomo😂😂😂

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:41

Damu hawaipigii bro,,,yeye alikuwa on heat angefanyaje ilhali wewe uko city ety lockdown???

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:41

dec mpaka leo umekuwa ukijishilia kwa nn ,ama kwa mkate?

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:41

This website has beem invaded and has started loosing it’s meaning.. we are here to console and give hope to anyone feeling like all hope is gone

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:41

Marriage shd b permanent but yako ni contract, naona mdivorce if possible so that u marry another wife.God will help u

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:41

Mdomo inakaa kama nyuma ya ng’ombe ikihara! Huyo mwanamke atakumaliza na maneno!Rundi nyumbani,ukalee mwana hatakama si wako.Ulimwacha njaa sana!

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:41

hahaha dunia ina mambo wewe umekaa kutoka dec ukingonja wife apewe food na nani?

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:41

Na wewe umepeana mimba ngapi Nairobi… Twambie

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:41

Sidhani kama wewe mwenyewe tangu Feb umerudi just the way you left…so forgive each other. Ni mimba tu hujapeana ama ni vile hajajitokeza

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:41

Be a gentleman talk to her…. Maybe alipata mimba kitambo na akakudanganya ako na mwezi coz hakua anadai….and if she cheated talk things out

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:41

Ww Rudi home na stay with ua wife if u really luv her.learn to know dat mwanamke mwenye ako na health she must ave feeling,so it’s ua fualt becoz if u were wth her dat thing could’ve not happened.hii tabia ya kuoa msichana n kumuaja ushango as if kwao akukua n kitanda,Nyumba,fud n mny other things ni mbaya tu sana.hebu niwambie n nn hasha ilikufanya ukaoe??,if u can ans that que then u’re to blame bye🚶🚶🚶🚶

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:41

Kweli you are new here. Hadi unapost twice? Ama una copy past from somewhere?

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:41

Uliachia nani ukienda nai jua kuna wanaume ata ukirudi utapata amezaa na ako na mimba tena we cheza bana

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left