Confession #832

#832 121

I feel so down 😓I feel like I’m giving up in marriage,, nliolewa Feb na kwa hii ploti tunakaa hakuna mtu tunaongeanga na yeye coz time yenye nlikuja uku nlikuwa nasalimia watu but hakuna mwenye alikuwa anakaa interested..so Kuna Dem Aki apa kwa plot naskianga tu akinisengenya na Ni beshte ya hubby..so Leo nmewapata wakipiga story Apo nje n I felt so bad coz hubby akitoka job anakaanga Apo nje kupiga story na watu but akikuja kwa nyumba nikimpea story haongeangi..nikimuuliza anasema niko na mushene,,nikijaribu kuongea story ziko na sense anasema namsumbua..I feel like depression inanishika juu cjazoea life ya kushinda ka nimenyamaza the whole day and night na Sina mabeshte..I feel like kwanza niende home nitulie then nirudi nione kaa maybe atachange (he provides everything)na sio wivu Niko nayo juu I also have male friends

June 19, 2020 |
0
1
2021-01-13 21:31:35

How old are u. N him? Mliona juu ya kupendana ama situations

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:35

Am now 32 he is 34 turning 35 this July. We met in a cyber cafe in Nairobi, like 10 years ago. We were not friends before. It just happened.

OP
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left