Confession #840

#840 534

I got married to a devorcee who had 2 children, they got separated becoz of the wife’s infidelity ata wife mwenyewe alinitusi sana n akasema yeye sio Wa class ya huyu mwanaume, alioeleka watoto kwao akabaki tao so baba watoto huwasaidia wakiwa uko n anawapenda sana, hadi wakati covid 19 ilikuja biashara yangu ya kuuza innerwears ikacolapse ju watu hawanunui ka kitambo pia biashara yake ikaenda chini where angefanyia mia moja kwa Siku so akawa hatumi pesa enough ya child support, now the problem is here grandma ya watoto akasema hakai nao tena ju pesa haitoshi, mama yao nae kasema haezikaa nao so ikabidi niambie hubby awalete tuishi nao, mama yao kuskia hivo aliwaka moto akakuja kunitusi akisema sitalea watoi wake na anataka kurudi kwake mind u nimezaa na Huyu mwanaume mtoi ako 2yrs na anasema haezirudia Bibi BT simwamini coz wanaume ni wale wale tu na Bibi anampigia kila usiku kum sweet talk.

June 21, 2020 |
1
0
2021-01-13 21:31:36

My dear jieke apo usipanduke hata unless uonekane mjinga,kaa hapo hadi dakika ya mwisho

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

This is my advice, if you get married to any man who had once married, bear in mind that the woman may some day come back and you are not the first wife. Be strong in your marriage, wether she come back or not should not be your problem.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Hiyo mama was kuuza innerwears na mtundu ameenda kwa karumazira kurudisha beans.kimya Na uchungu kupokonywa bwana.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

My dear sister pia wew ni mjinga how can you go to another woman is house ukemwambia akujengee yako juu watoto wa Huyo bibi wako ,huwezi shidwa kulea mtoto mmoja siz fungua macho na akili

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Pole dear,,just be strong juu tayari wewe ni mke wake,,try to be nice to your man and those kids,,then ngoja corona ikiisha uone Kama utamove out of that man’s life ama utaendelea,,God loves you and everything happens for a reason ❤️

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

I don’t see anything thing wrong this woman did, she doesn’t deserve some comments here. It seems most ladies who are divorced or having baby dadies don’t wish them well.
This woman alienda the only reason she wanna come back nijuu amesota, she is just a poor woman who can’t feed her own kid that she abandoned at village do akule raha.
Mama stay there and if they force you enda but huyo mwanamme will come back for you.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Watu mbona Wana machungu na huyu mama?Ama wengi ni divorced ndo munamuita homebreaker?Kwanza usiongeze mtoto,pili muulize tu huyo bwana akuambie ukweli ka anataka kurudiana na divorced wife yake arudi Bora a support huyo mtoi wako pia.Usipewe stress Hapo kumbe watu wanapanga kukutoa.Kwanza what kind of a woman leaves her kids behind nkt.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Watu mbona Wana machungu na huyu mama?Ama wengi ni divorced ndo munamuita homebreaker?Kwanza usiongeze mtoto,pili muulize tu huyo bwana akuambie ukweli ka anataka kurudiana na divorced wife yake arudi Bora a support huyo mtoi wako pia.Usipewe stress Hapo kumbe watu wanapanga kukutoa.Kwanza what kind of a woman leaves her kids behind nkt.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Tulia kwako na uache kutafta maneno yenye hayako mmeo tu ndoo Ana jibu huyo mke way kwanza mwambie hadharani akilegea ajue mko wawili full stop ama ulikuwa unajaribu boma🤕

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Wenye mnasema watu wasiolewe na na divorcée sijaelewa bado,Yani wanawake waende wajipee Raha huko akitakaa arudi,mwanaume angojee matokeo,Nani ameoa Nani?

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Madam it doesn’t matter whether it’s a divorcee nor single what matters is the way u two handles the challenges that u face on today’s marriages,,u seem to be a good woman but don’t let anything change your inner you,,most of us who are around we will cheer up when your marriage is over,,i wish u stick and fight in every way possible to win this man whether the first wife is there or not,

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Wooih ulifanya makosa yenye wasichana wengi wanafanya Siku hizi.getting married knowing that the wife is not dead.btw she will come back.maib its the man who is telling her to come back.at least you kept the man busy.
Girls let’s learn from other’s experience.
Even in the bible she is the legal wife till she dies.the husband by marrying you is commiting aldutery.you have your husband somewhere.
Pray to God that he shows you the lead

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

pray that your man is strong personally I had a man 7yrs ago tukazaa na yy one kid alfu I left when my kid was 1 and a half I went back to him unfortunately alikuwa na bibi mwingine so I left the I found out I was pg again but this time sikurudi I gave birth and took care of my kids and went back to school after 5 more years Bila kuonana coz my young kid is 5yrs we met as we are speaking ashafukuza bibi and he wants to wife me…. in short fear men

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Bwana wa mke mwingine hapana! ! I left another n***a three years down the line!!and we have one child!!unfortunately the mother die!!!and he was married already! earlier in the morning the idiot called me to inform about the story!!just wonder! !! Wanaume ni wale wale mammy jipanga mapema!! in angalia kwa umbali nikaona ni mbinu ya kutafuta kurudiana ¡!!ni Kama Hakuwa anaridhika na aliye kuwa naye

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Hapo ulipo mwenyewe atarudi and,,,bwana anaeza change mind anytime,,,bt if you are willing to be the second wife,,, continue with the stay,,, bt it was to be better if you leave that marriage and look for sb else

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Depends what you mean wanaume Ni wale wale, wanawake Ni wale wale pia, just be the wife you want your husband to love and cherish, he is not mad to accept that lunatic back..

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Depends what you mean wanaume Ni wale wale, wanawake Ni wale wale pia, just be the wife you want your husband to love and cherish, he is not mad to accept that lunatic back..

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

This is the fear of being married by a seperated/divorced man.Better a widowed man,,heri tuelewane na watoto.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

DNT leave u have his kid..bado hajakufukuza..so stay and make ur marriage work ..maybe what ur husband want is u to be strong ..DNT give him areason to leave you and go back to 1st wife…stay strong support him and take good care of his children.God will guide u…all the best mom

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Hiyo kuwasiliana kwa simu inamaanisha wako pamoja coz you can’t pick phone ya mwenye huna haja naye.Jipange mapema dear usirushwe !!

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Sasa anakuja kuharibu n believe you me atamake sure amerudi kua macho

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Ulijenga msingi was mapenzi juu ya machozi ya mwenzako…
What disgusts a hen interest an eagle.if u know u know

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Wamedivorce Aman ni separation like it sounds n if that the case toka kwa boma ya mwenzako

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Stay put sister! After all its not you who made her ran away. Kama ulimpata kwa nyumba ni sawa na kama hukumpata my dear kaa ngumu na akija pea yeye viboko

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Kurudiana mybe not mybe wanachat juu ya mtoi 2 sometimes i chat with my ex husband and siwezi rudiana nyye i know he bas a gf and i respect that you just show ur mother inlw u can do it

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Just stay put usiondoke kwako yeye Kama slishindwa shauri yake, utaenda kuteseka na mtoi mdogo

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Ukipata jungu kipya usitupe cha zamani sabaabu jungu juu halikosi ukoko.Never trust a man who left another woman for you

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Wanaume ni walewale my sister kaa randa juu mi sioni venye watu wameachana then wanaongeleshana tena that means wako kimoja

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Yy mwenyewe alikuondokea so don’t allow her to claim eti u don’t belong there after all where was she?akule ujanja wake

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Ujue Kama aliwscha watoto lazima atarudi kwake but ukiamua kukaa stict to your marriage till the husband aamue.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

What is wrong with women….why so much negativity towords men…(from comments)…. auntie…akuna kitu kama first wife…usikubali iyo ujinga….unakaa kua soft sana…..kama niww alichagua naww ndio mwenye iyo boma sai dont entertain ujinga…be fearfull too…demand yur place n that boma……make sure yu have the respect yu deserve from the man by telling him yu no longer wanna have him talking to that woman in cross doors na kama lazma aongereshwe uwe pale….make sure the other woman knows yu are in control….unachezewa juu yu seem weak….n men are men….ile siku atatoka nje…alale na uyo first wife again….atakua na little ya kufanya tym uyo bibi anakam kukutusi kwako….since yu know that may happen…make sure uyo mwanamke anakuogopa….by maintaining yu place n dominance in that home and in that mans life…….na anajua akienda na uko kutumiwa….ni wakutumiwa tu lakini akuna place anarudi

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

dadaa maintain tabia ya mwanamke,don’t go anywhere,mwanamke huyo hakujuwa umuhimu wa mme wake mpaka alipo chukuliwa kwingine,mungu mwenye nguvu kushinda vyote dunia akujalie kheri kwa ndoa yako,kuwa na moyo wa wa nyama na usiogope changamoto juu mungu anakuandaliA USHUHUDA

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

That’s why I do say I will only marry a widower not a divorcee since you will be like a care taker and they will use kids as an excuse of getting back together

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Ninachokwambia dada Ni kuwa kaa n ulee huyo mtoi wako ukimpima bwanako usiwe n fikira ya kumzalia tena haraka ivo juu wanaume ni kinyonga joh!!!!! Tena mwambie ka ulikuwa unakaa kwa nyumba ya huyo mwanamke akujengee yako,,,,,

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Let me advice somebody today,,,,, if the wife is not dead,,,, and you confirm by seeing the grave and photos taken from graveside,,,,, never and I repeat never,,,,,,
They are called goat wives, they can leave and come back anytime they feel like!! Sawa?

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:36

Usitoke huko ma dia kaa ngumu let her hv the pain br dont entertain the devil kumuonyesha unaweza enda.mwambia kulikuwa kwako wakati huo br saa hii n kwangu

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left