Confession #1081

#1081 107

I have an issue to discuss with you guys. One and half years ago I had a problem with my wife which made us to separate, mke wangu alienda na mtoto wangu wa mwaka mmoja. Nilipo jaribu kumfuata ni mshawishi arudi nyumbani alidinda kabisa na akadai ni muache kabisa asha move on na maisha yake na isitoshe ana mwanaume mwingine. Siku chache ambazo zimepita nime pata habari kutoka kwa mama mkwe ya kwamba mtoto pamoja na mamake ni wagonjwa sana niwakubali warudi nyumbani. Sasa mimi nashangaa atakuja kuishi wapi
kwa sababu hata nyumba tulipo kosana alichoma akaenda. I have tried to consult wise people but what they are telling me I feel it is not the solution to that problem…. What shld I do my friends??? Should I accept my wife to come back because she has been in another marriage.

August 18, 2020 |
1
0
2021-01-13 21:31:44

never let her return, regrets isnt your problem, she didnt love you anyway. also remember there is viruses roaming,

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:44

you need to find another place

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left