Confession #420

#420 270

I have been dating this guy since 2012….we decided kumove in pamoja last year Dec…yaani huyu kumbe alikuwa na wasichana wengine plus wamama rika ya my mum…i tried talking to him but hange admit….nilivumilia…i got to find out this guy had two kids with a widow….hakuwahi niambia…kumuuliza alisema niachane na maisha yake…nimevumilia hadi nikapata anadate my mum’s friend….i was so down…he is not that kind of a person akikosa anaremorse….mamake in yule mama anapenda mambo ya kuenda kwa waganga….i just moved out despite mi kumpenda……fununu ziko tu kwamba mamake ameniendea kwa waganga….i still love him but i want to move on…sina as anything ..juz staying with a friend….aki niombeeni hayo madawa ya mom in law isinifuate

April 23, 2020 |
4
0
2021-01-13 21:31:18

Pray back to sender prayers every time cover ur self n ur kid fast kabisa …you’ll be okey

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:18

Pray back to sender prayers every time cover ur self n ur kid fast kabisa …you’ll be okey

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:18

Pray pray pray and even do fasting watakunja kusema uchawi yako INA nguvu kuruka yao

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:18

Piga magoti omba God will make a way……. and be careful

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:18

Hahahah ati tukuombee listen princess it is not that you love him ni ile mazoea juu yake uko nayo afterall since 2012 umechelewa ku move in na you are lucky huna kido

Anonymous
0
1
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left