Confession #419

#419 147

I have tried so much to lift my life up kidogo but nikaa the more I try the more I get stagnant. Tangu nizaliwe Sijawahi believe in juju or wanganga but nimejaribu kuenda to different pastor s no change, hati sijuhi nyota yangu iko imeshikiliwa siambiwi ni nani am tired. This month nilijaribu kukopa doo nieke biashara kidogo, nikaenda nikalipa nyumba ya kazi but hii process ya kujenga counter nini imekwama till now sijafungua na stress ya pesa ya rent ya hio nyumba na yenye naishi it’s giving me stress where nitatoa next month, I have 2kids who needs to be taken care. Till I have thought to try this wanganga this juju thing, what should I do Sijawahi kanyanga kwa mnganga tangu nisaliwe I believed in God buy there is no help !!?

April 23, 2020 |
2
0
2021-01-13 21:31:18

Business goes with book and a pen you have rushed into a business that you did not write down all expenses you will incur settle down and learn from watching how others implement biz zao. Hata kwenda wanganga unataka uwe na plan ya huko unapoteza energy kutaka kushow watu you are doing something save money and start small kwa biz usitake mambo ya loan hata hujui biz iko aje.

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left