I met hubby 6years ago na tumependana sana dispite nlikua napata matext kwa fon yke akichat na madem wengine bt nlikua namforgive then life inaendelea asha nipeleka kwao wananijua na akapromise mathe yake atanioa bt 2018 aliwai niguzia ako na mtoi bt that time nkamwambia aki nliapa sitawai tenganisha watu wawili wapendanao na nkamshow heri nijitoe mapema ndio npee huyo mama ya mtoi wake nafasi bt akaanza kuniambia ati niuongo hana mtoi alikuatu ananipima…then thiz year april tukaoana bt tukasema hatutaambia wazae kwanza…then after tulikaa two weeks ivi akaamua kunishow ukweli ati ako na mtoi yes bt hakutaka nimwache dats why akanidanganya…then mm nkamshow aki asiache huyo mama mtoi amuoe tuu ndio walee mtoi wao pamoja bt alinisho yy hapendi uyo dem hata kidogo na ako tayari kushughulikia mtoi bt yy hana haja na mama ya mtoto na ati yy antaka kuishi na mm nmzalie mtoi…iyo story nkanyamazia bt he kept on telling me every time ati antaka nipate bol ndio ambiane home kwao ameoa la sivyo hataambiana ameoa…aki nisaidieni apo kweli nifanye nini na sitaki kumtenganisha na mtoi wake juu aki nlikua naomba mungu anipee mme mwenye ako straight forwad
July 8, 2020 |