Confession #814

#814 297

I met this guy,divorced with kids,so akasema ataki huyo bibi tuanze kuishi na yeye.We are from the same area yaani wea nimepanga,nikasema ni sawa but ni yeye akuje kwangu tuanze life coz mimi Siwezi hama.Ilipofika 10.30pm,nikashtukia mwanaume ameingia na bag ya nguo zake,🤑🤑. Woooooiii,nikakaa tu mpaka 11pm,nikamshow kwa hii hao Kuna only one matress yenye ntashare with my two kids and my niece hulala kwa kiti,Sasa yeye hatapata mahali pa kudoz.Gaiiiii!He sat there like 10mins,kimya then nikaona amepick hiyo bag na kutoka,ave never seen him since then.

June 14, 2020 |
3
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left