Confession #1052

#1052 436

I need your help guys..my husband is stressing me out….mtu mmekaa siku mbili au tatu vizuri lakini utaona tu ameamka haongei na Mimi ukimuuliza shida ni nini ananifokea ati hakuna I have tried to find out nini huwa shida na yy but sijafanikiwa kumuuliza Kwanza ndio anakua mkali alafu after some days anakaa ni Kama hata hakuna kitu inaendela alafu tena after some time tena inakua hivyo ni Kama mtindo imefika mahali Sasa nakaa na uoga juu sijui ni lini ataanza …na akianza kazi kutushoutia mpaka na watoto ukiongea na yy anajibu rude …am very frustrated ineed some advice please

August 5, 2020 |
3
0
2021-01-13 21:31:44

My sister shetani anaingia kwa ndoa

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:44

Just take him to pastor

KSI
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left