Confession #726

#726 183

In 2016 nlipatana na boy fulani tukapendana. Ikafika wakati akaanza madharau coz nlikuwa mgonjwa nkafanyiwa operation nkambiwa sitawai pata mtoi tena, madharau ikazidi hadi akamua kuoa. Nami nkajaliwa kazi nkamove on 2019. After along tym waakaanza kusumbuana na wife yake. Akamua kunitafuta akitaka turudiane. But since nliamua kumove on nlipata chali mwingine akanipenda vile niko na bahati nzuri sai nko na ball nakarbia kuzaa. So my ex ananilazmisha turudiane even if niko na ball ati atakubali kuwa baba. Enyewe nampenda licha ya yote alinitendea. But on the other hand siwezi acha mwenye niko naye sahii coz he loves me too na niko na ball yake. Am ina crazy dilemma.

June 2, 2020 |
1
0
2021-01-13 21:31:31

The greatest mistake ladies do forcing themselves who don’t love them in the name of Nampenda sana

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

My friend, very few people will love you with your flaws,you are not a second option pls..there is nothing to think about,ebu songa ukisonga kama injili..

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

Wacha upuzi, a kuforce ama ni wewe unamtaka? Zaa ulee mtoto na utulie na mwenye kukuzalisha otherwise akijua unafkria Ex wako atakuacha utajipata ukilea mtoto peke yako

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

How old are you,first mistake you fall in love with a boy 🤔then you fall in love with someone cause you’re desperate and lonley and he truly loves you now you’re thinking of that boy again just know that the situation you’re creating has consequences, think lady that boy why didn’t he give you achild?

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

Stop the nonsense n concentrate on your family.under the sun the will b good n bad times in marriage,so please let your unborn child have both biological parents coz that’s what God planned

Anonymous
0
1
2021-01-13 21:31:31

Aki sometimes I don’t know what women wants.. Yani you have someone who loves you and your carying his child..but you still seek advice about your ex who dumped you the time you needed him most like seriously… Let me mind my own business chaiii.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

Eti mtu akuonyeshe madharau ,,,wakati wa operation pia madharau ndio hayo? Then you want to go back to him again? Really? Msahau kabisa vile yeye alikusahau akaoa nawe Mungu akakukalia uko na ball ya mwanaume mwingine…wachana na yeye

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

Nini inakusumbua mtu akufanye madhalau ju uko mgojwa tena ati huwezi zaa alafu saa ile umebarikiwa umuludie ….chunga sana …move on my Fred usiangalie nyuma

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

Ata mi nilipitia hapo ,,,after kuachwa eti zizai akoa ,nikapata jama akanipea bol akataka kurudi bt nilimkata ,,he’s just lying anachekwa na wenzake alishindwa kukupa bol

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

He doesn’t love you, you can’t love who doesn’t love you back.love is unconditional.he left you to another lady . move on with your current love ,he chose you without condition.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

Move on with your life, na yule aliye kupenda jinsi ulivyo,wachana na yule mjinga alisha kuforastrate,he has seen your success ndio anaona wewe ni mtu muwache akwende huko,haendele kusumbuana na bibi yake, and l normally say what goes around comes around

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

kaa na mwenye uko na yy nausahahu na mambo ya uyo wa kwanza juu angekua naaja na ww angekaa na ww nakukusaidia kwa iyo shida ulikua unapiitia so uyo si mtu wakuishi na yy

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

Kama unataka amani maishani mwako kata mawasiliano kabisa na huyo X wako, na kama unataka kukaa single in your life then entertain his nonsense bwana yako ajue

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

WEWE umeoleka already.Your communication with your ex amounts to unfaithfulness.Your x had a reason why he left u,if u accept him back ,you will again post in your fb page complaining……stop chatting with him forthwith.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

Sasa huyu mtu wa matharau unampendea matharau zake? Hapo wakati alichange hapo ndio ungejua huyu sio mtu anakupenda another man’s trash is another man gold plz kaa na baba mtoto wako jua vizuri alikupenda hivyo hivyo naye mungu akakubariki saa nane mchana jua ikiwaka ndio EX wako aone,sahi wewe ndio mzuri??? Sahi uko na maana saaaana???? When the deal is good think twice my dear

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

Ebu jiulize ukimrudia kama hatakufanyia matharau tena ama mtoto coz Si wake,,,,don’t be fooled by his words or what you had b4,the guy you are with loves you and accepted you vile uko,mbona umlipe na matharau tena pia kwa kumtoka,just block that matharau guy tell him your happily married you don’t need him,remember any choice you make ikona consequences pia,its your call gal

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

Ukitaka yote utakosa yote,,kua na msimamo,, ,,Huyo mwenye alikukubali na weakness zako,na Mungu akakubariki, ,mbona umwache? Wachana na mwenye kiburi akae, pride comes before a fall,,,

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

Waja na communication na ex,na usahau yeye kabisa na usipofanya hivyo utaloose wote .hawezi penda mimba ya mwingine itatoka Kisha akudump

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

You love him but does he love you? Be careful with someone who sends you away when you need him most but only needs you when he is down. Such people are not real, they need you for convenience.
What if you marry him and by bad luck you miscarry that baby and you are told that you won’t give birth again, will he keep you this time? You had seen the red flag….if you waste the chance to be with this guy who loved you the way you were, you will regret for the rest of your life. Decision is yours🚶

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

X ndo masheitan wakubwa kwenye ndoa wangu tuliachana akiniita tasa juzi tulikutana tao akaona nikiwa na bol akaaza kulia ety bona hukutaka kunizalia nkamwambia haikupagwa awe baba mtoto wangu nlimuacha railways akilia akisema bado ananipenda

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

Wacha upuzi na tamaa..
Ndoa ni kufumiliana whichever case. First guy left you cos was told you can’t concieve again. Are they God. Second one accepted you jinsi ulivyo….tena kakupa uja uzito…wataka nini tena?

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

Your first boyfriend lost his chance thinking you will be nothing. He thinks you have no future. Now that the one you are with now met you on your way and wiped your tears and loved you despite of your condition but he loved and cared your. Mungu akaona umakinifu wake wako akakupa kibali ya kushika mimba.
Kaa na uyu boy alikupanguza machozi na mkapata mimba pamoja. Never look back.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

You mess your current husband and you end up cooking your goose maintain na huyo msee he must be one in a million huyo bibi mwingine pia atafanya comeback ikuwe cycle

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

Huyo ako na nia ya kukuharibia life……because mwenye uko naye sahi akijua unaongea na ex ,,sikidanganyi utaenda ….finally utabaki peke yako na mtoi wako….. Km mtu alikukataa ukiwa na shida ,,akuna siku atakupenda…but decision is yours mrembo

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

I don’t see anything to confuse you,unless you want to confuse yourself,its funny that you still love someone who left you cause of your condition, then you’re cheating on the one who gave you pregnancy that you love him and yet you’re still thinking of the bustard

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

Now this is wat av been advicing ladies am happy you did found someone who loved the way you’re good for you,during the difficult times your ex wanted nothing to do with u now you r confessing you still love him despite his past,again you’re patching things behind your man’s back while carrying your man’s baby,stop these nuisance n focus, bring your man in the picture whenever ex appears or communicate c if he can handle that, tell him to book an appointment with your man and tell him by himself while the three of u r there if he can dare now this is wat is called MATURITY

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

You actually need no help! unless u lack common sense.Forget abt th past and concentrate on your current rltnxhp.Huyo anataka muachane afurai ukiteseka my dear be focused.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

Acha mchezo, kile uko nacho ndicho chako, utahesabu aje chenye huna??? Ulisha move on acha kuangalia nyuma, mfuata njia mbili hupasuka msamba, penda uliye nae mwenye alikubali hali yako ad that’s the real man.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

I wish am in this situation ,ati ex is there anataka turudiane ,angejua hajui everytime angekua akicall naongea zile za am in the kitchen preparing my love ABCD,Niko kwa njia naendea swty stage ,Niko mahali Fulani nafanya….. majina tamu tamu za hubby mpaka aboeke

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

Stay with the one you have coz he is the one who love you but the other one u were the one who loved him but he didn’t …

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

Utaharibu ndoa yako kwa Ku communicate na huyo mjinga alikuonyesha madharau ignore him mwambie the game wao over iko nini

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

First of all kwan kupenda mtu nkufanya nny…it’s appreciating vle mtu ako n if hakufanya hvo hakukupenda…. someone loved u as you were kwan you want an angel from heaven…I wish n mmy nmependwa be mature enough to make decisions u deny your kid biological dad’s love uende kwa mtu mwingine u need to be quarantined

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

Stick to Ur marriage gal en forget about Ur so called Xx boyfriend kubali na umpende huyu mwenye alikukubali licha ya shida ulikuwa nayo.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:31

Stay to the owner of you baby, ukirudi huko, unajiletea stress, remember to trust in the Lord. Coz hakfmilia shinda zako, aliamua kuoa, so he can’t b a good hsbd. Wacha akae na wife yake, move on with ua life, May God protect you, let tht man go. God has th way 4 you, he is your comforter in the tm of trouble. Jer 33:3

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left