Confession #751

#751 239

Jirani yangu alifukuza bibi yake akabaki single. After one week nilipata bibi yangu akimuoshea viombo, is this ok? Ma suspecting them.

June 4, 2020 |
2
0
2021-01-13 21:31:33

Maybe he pays her hii corona did u ask her anything ama pia wewe umakaliw chapati

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:33

Huyo bb anamchezo kubwa Sana.ushapokonywa bb
BB ametajirika ako na mabwana wawili

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:33

maisha yamekuwa magumu, hata mm nikipata mtu anataka kuoshewa anilipe sawa, bt chunguza kwanza ndio ujue

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:33

your yf may just be emphatic to your neiba…only if bbiake alifukuziwa ukorofi ama ndiye alikuwa na za ovyo. for your safety spell out such boundaries to your partner based on how you’ve lived with your neighbors. Kuosha vyombo sio directly related to relationship. Nmewai chotelewa maji kwa mfereji na mshushu wa plot , does it mean tulikuwa na mpango???

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:33

Did u confront ur wife for u to understand y she did it? Smtimes it’s better to try solve ur issues first b4 u search for others to help.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:33

Just confront ur wf ask her why she did so then from there u can know how to judge now

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left