Confession #460

#460 85

Kila wakati ninapokula njugu karanga, mimi hula maganda yake kwa sababu nina uvivu sana kuamka na kuziweka ndani ya pipa!

May 5, 2020 |
4
1
2021-01-13 21:31:20

Inaonekana wewe ni mcoast, mna uzembe ingine hata sielewi…….sahii ndio mnafurahia corona. Kukaa tu kwa veranda ndio zenu

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:20

😂😂😂Walahi uzembe itakuuwa b4 Rona ikufikie

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:20

bana ukitembea na mcoast utasinyika I say. nikama wamebandikwa glue kwa miguu yao

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left