Confession #517

#517 209

Kuna dame ako na mtoi wa 2years na ninampenda Sana pia ye ananipenda but shida watu husema ako na ukimwi alizaliwa nayo juu mathake ako nayo, mi naogopa kumuuliza juu aliniambia alimnyonyesha mtoi na sijawai kumuona akimeza dawa yeyote na nimetumia condom mbaka mapenzi imeiva sasa.

May 10, 2020 |
3
0
2021-01-13 21:31:22

Pliz my brother tell her you go for a vct testing before things falls a apart!!!!prevention is better than cure!!!!

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

Enda VCT mpimwe, na kama unampenda bdo hata kama atakuwa positive, you can still stay together na ww utakuwa sawa, na mtazaa watoi health

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

Sasa hizi pep zimejaa tena ukimwi bado unatisha msee kweli, Ingia vct kwanza

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

Mwambie mvisit a VCT for your own good don’t fear…….you can also marry a positive partner and remain negative…usiniulize zaidi….tembelea kituo Cha afya

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

Kama umuamini mjaribu muende mkapiamwe nyinyi wote,,,,,,ama upate to Ni moshene to za watu

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

eti ufanye aje? ufanye aje ndio nini? wewe hujawai sikia vct au unauliza nini leta post yenye imekushinda kutatua…acha kunikasirisha

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

Love conqures….can disease deprive u ur happiness?? Enda hosi mpimwe then utajua venye mtaishi nowadays its not a big deal

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

As you say u love each other. Go for HIV test, if it turns out that she is positive, there is nothing to fear go for councelling accompany her to the CCC as she does her arvs u will also be doing ur prep. And life will be normal as any other person. HIV is nothing to fear nowdays.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

Maze wewe ni mwanaume joo, usije ukaskiza mambo ya watu. If u keep digging in the past ya madem my guy, u gon be dissapointed. Ukitaka kujua kuhusu mtu muulize mwenyewe.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

Bro,if u truly love her,( n i knw u do,) pls ask her mu ende vct to confirm. Sio lazma uone akimeza dawa unless mnaishi na yeye.n remember cd’s r not 100% .Where there’s smoke there’s fire.Endeni Vct.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

Ni Poa umuongeleshe ninyi nyote mwende mtafute ushauri wa mtaalamu katika zahanati iliyo karibu nanyi. Sio watoto wote wazaliwao na wazazi walio na virusi vya ukimwi huupata. Ni wachache tu. Hata hivyo kupimwa pamoja ni poa. I suppose, wewe ushajua Hali yako?

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

Ikiwa kama unaogopa kumuliza ,,ulianzaje kumuuliza ka amenyonyesha mtoi wake,,? Ulishuku nn ndio ukamuliza about kunyonyesha mtoi??na tangu uanze kuskia et ako na ukimwi mbona hujamwambia mwende vct,??huo uhusiano wako naye hauna uaminifu,na akuna kitu kama kupendana apo, ,sab ka unampenda inafaa uwe unamwamini, na ukimwamini hautatumia condom,,sa we acha kudanganya watu apo,,,tena hujui kpenda MTU ni kufanya nn

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

Plz aanza kutumia test kits available at pharmacy if negative surprise her to the vct then u can do what you want with her

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

ww achana na panganga za watu follow your heart ukipata ako negative wataanza sasa kusema ati kwao wanakuaga wachawi unamwoa akue your wife not a community wife

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

Talk to her.Let her know your worries.If she Loves you ,she will understand and also honestly clarify the issue.Whatever the outcomes continue loving her as you have been doing.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

Ukipenda mtu you b open with her or him. Why not sit down n talk this issue out. Just b open with her umwambie unataka kutake ur relationship to another step so ni vizuri kujua hali zenu uone atarespond aje… Then muende vct kama atakubali

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:22

Mupeleke apimwe mukiwa nayeye

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left