Confession #913

#913 333

Kuna dem tulikua tumepaga kuoana na alikua ameanza kuishi kwangu then akapata mimba tukaishi poa bt mimba ni ile ya kisirani ,,akaenda kwao march na akafugiwa (lockdown) sa aliblock line zagu bt akitaka alikua ananiita naeda kumuona nasneak nrb hadi kwao,,akidai pesa ya matumizi uwa ananiitisha na pia za clinic ,,je nimgoje ama nimsahau bt nampeda

July 8, 2020 |
0
0
2021-01-13 21:31:39

Anabeba mtoto wako,mpe nafasi ya kuzaa Kwanza na usimamie majukumu yako yote kama Baba mtoto na mme.Baadaye mtapanga kutembelea wazazi wakupe msichana Kwa ndoa.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:39

Be patient. Lock down is over she will be back soon

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left