Confession #556

#556 628

kuna huyu dem I truly love her but shida ni moja dem alnisho before nimuoe lazima nimpeleke cole so nkachanga doo ,vile nlifikisha 20k akasema apana yy htaki kwenda cole then we spent the money after kuisha few month later ananisho anataka kwenda shule …am damn tired I was rude over anybody who talked bad to that girl even I didnt heard anything that my mum use to warm me that niwachane na huyo mschana coz I truly loved her …we have been dating since 2017 upto now and I dont wanna loose that girl ….please advice me imagine hata maib sometimes najipata najam ety hadi nakatia dem mwengine but guess wat dem mwingine akinipea no .mi hustukia nmemtusi na hata nkiwa na dem mwingine I lack the feelings….. sina kabisaaa.

May 14, 2020 |
5
0
2021-01-13 21:31:23

Juju for love 💙 is working, open your mind and eyes to think beyond and see far

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

You need to take yourself to school first.Then find a woman who does not enjoy taking advantage of you. You are being exploited and you should have listened to your family members.Normally when you don’t allow a woman to take advantage of you in the name of love,they leave in search of a more gullible individual.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Huyo amemaliza course ya dating, 3 years dating is a full course

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Hehe umechanga fees mkakula,bahati mlikula haikufika shule naona ungejinyonga hapo mbele.Run away from that lady as soon as possible coz nikama dame anadate wanaume wawili,kati yao kuna mjinga na mwerevu,mwenye mali na mlinzi,jiulize uko wapi kati yao

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Love is unconditional, she does not want to grow with you because even after knowing how hard you raised that 20k she went ahead and influenced you to squander , meaning she is not interested with you n was just looking for a way to get out of your life. You love her too much n she knows that hence can manipulate you all she wants and dump you when she feels like, don’t use your heart all the time you will get hurt sometime use your brain and you will be safe.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Huyo si wako kaka,,na ujue siku hizi ata dame wanatumia uganga ndio wanyanyaze wanaume,,,chunga usimwage maisha yako kwa dustbin bure

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Just give it time, you don’t expect to love someone so much alfu umwache tu fwaaa you must get ready to get hurt when you leave her ndio upende mwingine after that.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Kama wazazi wake wakumanager kupeleka shule,wewe utaweza??ngulusumu…..kama ni penzi ni penzi
na kama masoma aende kwa wazazi wake..

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Broo story na college achana nayo tafuta msupawingine

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

Angalia lusungu yako. Wewe mwenyewe hujaenda college lakini unafanya harambe kupeleka kitu inaitwa dem college na hata kitu yenyewe haitaki kusoma ni kukula tu hizo pesa. You are stupid, mende, mavu ya kuku. Hukusikia ya mamako sasa yetu ndio utasikia. Kijana kaa na wazee kama sisi tukufundishe kwamba mapenzi mtu aingiangi na akili yote hadi anaingiza mapua na matumbo ndani

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:23

☝️☝️☝️☝️Well said hapa

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left