Confession #647

#647 392

Kuna huyu jamaa tulikuwa nae in a relationship since 2012, akasema anaenda job eldoret, then kwa muda kiasi Dem alikuwa ananicall na kunitusi, kumuuliza anasema hamjui, kufanya upelelezi amemwoa uyo Dem but nikamove on n life yangu, nikajoin college nikamaliza last year, so alianza kunicall tukichat tukiongea akasema yeye ukweli alikuwa married wako na mtoi mmoja but waliachana na dem, Dem Yuko nai n mtoi ako kwa mamake ushago, corona ikianza march akatravel kuja kuniona eti, nikamkubali aje tu,pia mimi nilikuwa na job but tulisimamishwa coz of this coronavirus pendemic, jamaa alikuwa busy kwa simu asubui Hadi jioni,anakula na kulala,uyo Dem akajua Niko nae anashida akinitusi tu fb,msgs Hadi nashindwa, nilimuuliza jamaa anasema mblock namblock bt in real bado wanacommunicate,n anashow uyo Dem kila kitu,am confused.

May 25, 2020 |
1
0
2021-01-13 21:31:27

Endelea kulea bwana ya mtu… Kwani? Who bewitched our daughters and sisters? You know what’s happening na bado unatuuliza…

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:27

Alikuja kujikinga mvua kwako siku mvua itaisha . Nakuhurumia lakini alikunywesha mkojo wake tena ulirudi sasa ulishwe kinyesi😝😝

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:27

Ulimsamehe na kumkubali na bado uko Na yeyee juu wewe ni mungu unataka kumaliza shida za kila mtu cndio? In short run away and start a fresh or else you die of stress

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:27

Hapana swee hiyo nguvu ya kumkubali umetowa wapi swee we don’t make the mistake twice gaki first mistake alikuwacha tena saa hii unamkubali ya kazi gani tell that niggar to go u r too beatiful for that c**p yes it is a c**p u went thru something after he left mbona tena una kubali I know lv is good and bad mama huyo si wako acha atembeze kiatu be your own b***h tell him not in ur hse akwende kwa myenye anatext

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:27

Woiiii…lemi advise you for free mrembo.That guy anahitaji tu umpunguzie nyege…in real sense hakupendi.second dont show a man that you are desperate for him…atakutumia zaidi ya toilet paper.Be strong mama…own up your mistake n move on…kuna wako mahali anakufa kukungojea.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:27

Kuna nyahunyo karibu na wewe,kama iko,ita neighbor wako,mpatie,mshow akuwekelee nyahunyo kama kumi hivi,then mwabie ni sababu huna kichwa mzuri

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:27

Call a meeting with yourself and review your life once again…this son of woman is not worthy to keep..he doesn’t deserve to be with you and enjoy your love…next time my young one learn to differentiate an hungry man and a man in need of love..though they are both hungry be t be careful…wish you well

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:27

if the guy still have the child and still wana communicate it shows they are still together and the lady is still in Love with the man what I’m sure of is the man want just to use you and go please try your best to move on with your life

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:27

there’s a greek saying that states ‘murimu wa muchoka niguo uriaga mundu ‘ a reccuring disease is the one that will finish you

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:27

But si ulikua umemove on? What made you go back to him.. Hii ni stress ulijiekelea mwambie arudi kwa baby mama wake

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:27

I think he realized u r weak. And I see Indeed u are. I thought ukienda college u improve na kujua hii maneno zaidi. U are totally obsessed with fake love of this poor tykoon. What u ve explain shows that u are being used like a tissue paper. There is no love. If there is, then this guy is weighing both of u

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:27

yu r a big fool. He dumbed yu fr another woman n yu sat down there waited fr him? Collected the leftovers ukaenda naye kwako. How desperate ayu. Uko serious no one else cud luv yu. ?si bas ungekaa bila kuliko kujiabisha. Kanyagisha mtu nje n love yuaself nkt

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:27

Mbona ukamkubali tena after hayo madharau fungua macho uone mbele mamaa stop waiting your time hakuna mapenzi hapo…

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:27

Wewe ndie umekosea kumrudisha kwa maisha yako,,kumbuka he is married na akioa alikujua vizuri,,so hungemruhusu kwa maisha yako tena,,,hakupendi wewe ni mahali pake pa kutafuta pumziko akikosana na bibi,,,mwambie akanyange inje

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:27

Move on na maisha ex hurjdisha watu nyuma you will never grow mwache usonge mbele,set personal principles and move on uchunge usipate bol ikuwe stress mara mbili

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:27

I can advise the guy is your ex so huyo anakutumia kupunguza tu kiu yake ya ngono…in real sense we men we don’t love our exs bt we like them for the purpose of kupunguza kiu

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left