Confession #533

#533 196

Kuna huyu jamaa we met last year June tuka date hadi nikasikia Bibi yake ameenda ju i think Kuna madharau huyu jamaa alikuwa anamfanyia ju yangu so after wife kuenda ndio mapenzi yakazi so the guy akasema nimzalie, mind you Bibi alienda na mtoto akiwa six months mimi nimeshapata ball so jamaa aliamua tuoane, sahii niko kwa nyumba sio yangu na jamaa ananionyesha venye ananipenda Sanaa hadi am confused kama nikunipenda ya ukweli ama he’s just a player ataona mwingine Tena vile aliniona akiwa na wife wa kwanza.

May 12, 2020 |
2
0
2021-01-13 21:31:22

Wembe in ule ule, ball itakuwa kubwa na yeye ataanza kudinyana huko nje before you know it pia wewe umeenda ukiendanga….

Mr Miyagi
0
0
2021-01-13 21:31:22

Mbona sipati mwanamke kama wewe ambaye anataka kuolewa,apate watoto hana drama at all? Best wishes to you. Be careful wife asikuumize please. Nothing wrong with having a co-wife.

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left