Confession #587

#587 282

Kuna mahali nilikuwa nafunza,kacollege upcoming.kulikuwa na student Hapo pretty Sana .kumbe my boss alikuwa ametry kurusha vybz but zikawa zinabounce.nlikuwa naingiana na yeye sana.one afternoon akanipa visit after class..it was very sunny day,so alivaa katop light na kashort.alipendeza kweli..ghafla weather ikachange,Seema bonge la mvua..and it did bring good blessings along.when it was done,since ilikuwa cold outside,nikaingia bag ya nguo aone sweater avalie..ilivyo,akachoose my favourite,yenye I wore mostly.sisi hao,nikamsindi Hadi stage achukuwe kamat ka esto yao..tukiwa Hapo,nikaona gari ya boss,wah!akarusha macho zikagongana,akaangalia mdem..he didn’t hoot,or wave..same to us..Sasa kesho yake shule tulikuwa tunapimana kimya kimya,nisijue anawaza Nini..but sikupoteza job,na hakuwahi nihoji kuhusu ii story.🤣

May 17, 2020 |
5
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left