Confession #781

#781 450

Kuna Mama kwa plot hunchapia mtoi kila wakati wakicheza na wake wake Alie anaadhibu mtoi wangu vimbaya sana, Jana nikashindwa kuvumilia nikienda kumkanya akanianza na matusi nikafikiri maneno imeisha leo asubuhi nikakujiwa na polisi tukaenda tukaongea but nia yake ilikuwa pesa polisi wakachanuka anandanganya coz ile statement aliandikisha si vile alikuwa anaongea, tukambiwa twende Sasa ameambia mama mwingine ataua mtoi wangu na ahame.

June 8, 2020 |
2
0
2021-01-13 21:31:34

Ua yeye kwanza…usikubali mtu akuteteshe na ni mama mwenzako…

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Mtu kuchukia mtoto ni laana kubwa. Mtoto hana mpaka nikama ngombe ataukimchapa kesho yuko kwako. Mtoto hajui chochote. If that woman has another issue pls acheni watoto leave alone kids. Alaaniwe anaye dhulumu watoto

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Usioperate on earsays eti uabsikishe statement ya kifo na sio wewe uliambiwa unless u have evidence of something recorded buuut move out nyumba ni nyingi.. Jumlisha Landlord maji yqkizidi unga

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Na ataua !!!!,,as I comment on ua story the same thing happened where I live and the little girl ako mortuary ,,,hama my friend we were brought up with different mothers

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Watch your kid closely make sure he doesn’t play with her kid and warn him never to eat anything given to him by anybody coz she can even use her own kid to do something bad to your kid so be careful as u look for another house

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Kuhama s the solution BUT we all know the process takes time.for the time bng WARN ur own kid over playing with that kid..ukimpata unamchapa mwenye we.. As God gives u the way forward..

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Aiiii kwani anakulipia nyumba ama niyeye alikutaftia?????usihame hawezi ua tena amejurikana na Kila mtu wacha aibu zimtoe,I mean yeye ndie atahama akajaribu bahati kwi ngine aaiiii have a good day.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

In the book The River and The Source, the writer says that if a path is leading you nowhere, you take another path.
Hapa Town Dada yangu Nancy, kuna watu kila sampuli. Wengine ni wachawi hatari, wengine ni wakora, na Wa roho chafu na kadhalika.
Pia, hapa town unaishi kwa pesa zako. Na Mimi huamini amani ya moyo wangu, ni Mimi Wa kujipea.
Ningekuwa Mimi wewe, ningehama ili nijipe amani.
Maana midomo mingine huchawi watoto haswa ikiwa familia yako si ya kudumu maombi.
Usingoje kupigana vita ambavyo hujapangia. Vita vikikuchagua, huwa vimejipanga. Vita kama hivyo, usipigane. Mwachie Mungu atete na wao.
Mwenye nguvu mpishe.
Utakapohama, utatulia. Na kwa sababu ni tabia yake, itamsukuma pengine…na atajua hajui.
Tuko pamoja?

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

People of kisirani are everywhere, just run for safety coz kama anakuonea wivu she will not wait to see you succeed Infront of her own.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Hama tu na uwachie mungu wake ndio atakufa ushangae Kuna mwenye amewahi mwambia my mum hiyo shamba mnakataa nayo mtazika watoi wenu hapo my mum alilia Sana na akamwambia huyo mganga itakurudia siku mpili haikuisha mtoi wake akafu na mzee akasema alikuwa ashapea mungu eti.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Yale anayokupangia mabaya mungu naye anakupangia mema usijali muombe asubui nanjioni only for three days utapata jibu kutoka kwa mungu wachana ya wanadamu utapotea

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

people are evil,fight the battle on your knees,ask God kenye atapangia mtoi wako kisidhuru mtoi wako,pray,God listens and answers our prayers,he will protect you and your baby

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Wait…umesema anapenda kupiga mtoto wako??na unanyamaza tu???I can’t allow someone to beat my child na nanyamaza Kuna vitu huendaga t*t for tat but eniwei report that threat to the police ASAP

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Aki jifunzeni kuacha kuingilia Mambo ya watoto,watoto wanakosana few minutes unawapata wakiwa pamoja,Mimi hata uniambie Mwanangu amefanyiwa Nini na mwenzake,huyo wangu ndio ntarudi kuadhibu Hadi vile atajua kucheza na wenzake akiona Ni vigumu akae kwao

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Fundisha watoto wako boxing tae kwon do,karate,muai Thai,alafu akijaribu apigwe hadi ashindwe kwenda karao…

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Vacate the place for the safety of your baby please my sister

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Enda ambia police hiyo maneno ya kuua,Kwanza ni wa sehemu gani huyo mama?

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Go down to your knee and pray . Again avoid argue with her .pia mtoto wako mkanye kabisa kucheza n mtoto wake . don’t worry God is in your side believe in him and surround your family with the blood of Jesus Christ

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Rudi uko police station u report that threat incase huyo mtoi akipatana na shinda yoyote she will be answerable alafu uhame hiyo plot

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Hebu wewe Hama hata leo umwache hapo, hujui watu walikuja town na nia gani na pia hujui walitoka wapi

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

We rudi kwa ao mapolice wambie uyo mwanamke. amesema ataua m toi wako n usithani n mchezo at a UA uspo chukua hatua ataweka mtoi wako chini

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

We! There is no need of you going back to police station, hama haraka iwezekanavyo, kwani umepigiwa misumari hapo?

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Huyo ni maneno anakutafuta but God will come to Ur rescue darling na ataabika Sana just kp Ur son in prayers

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

I remember I mate such neighbor from kisii ooooh sai wako uko ahera jinga hao but I don’t advise u to fight her

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Plz Hama u know what out of the abadance of the heart the mouth speak maybe she may end up killing your kid plz do u have any one who heard her saying so?if there is go and report as a security threat to kid and shift as quick as u can Kuna watu hitembea na pepo za vifo

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Kuna vitu mi usema bona awa wamama mi sikutanangi na wao jame mutu atajikaranga mwenyewe aife

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Hama umuachie ploti… that baby’s life is at risk stop proving to be the tough one here..utapoteza uyu anakaa mangaa wa mtaa amechoka na life so let her not think that yours is useless

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:34

Kama kuna shahidi aliskia aki issue the threat enda ata wewe umreport polisi

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left