Confession #589

#589 402

Kuna soldier ananikatia na kuniambia vile ananipenda which is ok lakini nikimwambia tuanze na relationship yeye anakataa ATI anataka kunioa🙄🙄ati siku nitaenda kumeet na yeye hakuna kurudi home..nikikataa anakasirika hataki kuskia jina relationship mahali😂😂😂na kila time nikichat na yeye lazima aongelee story za sex😑 ….nmemshw am still 21 na mambo za ndoa sijui amesema atanifunza🙄….amepromise mpaka kunifungulia salon ju iyo ndo course nafanya……sijui nifanye aje

May 18, 2020 |
3
0
2021-01-13 21:31:24

Kama huna akili hujipendi olewa na D+

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:24

Soja atakupiga rungu mpaka ushangae

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left