Confession #788

#788 99

Kuna this guy tulimeet fb alinitumia frnd requst nikaacept after hapo sasa chat ikaendelea kupamba moto hadi tukachange numbers whats app pap ,everyday we used to chat call nikafeel nimefika mbinguni hehehe. Jamaa alianza kunitumia doo mpesa credit nikaona nimefika but hatujawai meet anasema tu tutapanga date tumeet mapenzi ya simu ikaendelea kuendelea hadi alikuwa saa yote kujulia hali ya mtoto mwenye si wake nikaona mungu basi anaeza kuwa amenitumia mtu but nilikuwa naogopa kumeet nae place private nikasema huyu lazima tumeet place public incase ako na bad intension sasa mi nilikuwa tu within mombasa nae pia around but nilimficha niko mbali ndio atume fare vizuri. So siku yakumeet na huyu jamaa ilifika tukapanga kitu saa nane hivi yeye alijua niko mbali fare alituma jana yake 2k mi place niko na mali tugemeet inacost only 30bob lazima uwe tu mjanja hehehe side na doo ilipofika time mi nikampigia niko almost yeye ako wapi haya akaniambia ako area mi niseme nimevaa nguo ngani mi niliamua kujificha mahali kulikuwa na ka mpesa ndio nimuone vizuri yeye akaniambia amepack gari hapo side ya road na gari ni ya black mi nikamwambia siwezi ingia kwa gari ya stranger unless ashuke atoke ndani ya gari tuingie tu mahali ndio baadaye tujue what next.Guess what jamaa hakutaka kushuka but mi sikujua sababu ya yeye kutoshuka but nilipoinsist ashuke akashuka kwa gari uuuiiii nilitamani nikimbie mbio na niweke phone flight mode na nijifanye kabisa si mimi nilikuwa na chat na yeye nilibaki tu hapo nimekaa nimekuwa disappointed. Kumbe this guy alikuwa mfupi yaani mbilikimu hehehe hata mwala ni mrefu siku zote hizo tumekuwa tukichat pic zenye alikuwa ananisendia ni za bro yake ukweli wamefanana kabisa but shida ni yeye ni dwarf. Continued on comments 👇👇👇

June 9, 2020 |
3
0
2021-01-13 21:31:34

Niliona haina haja nifunge simu nikafungua nikamuuliza kweli huyo ni wewe ama mbona sielewi na mbona unidanganye hivo kwani hukuwa proud of yourself about your height basi hapo umejikosea pakubwa sana mi ndio hivo nimeenda na usiwai nitxt or kunicall tena maishani mwako ile mood nilikuwa nayo iliniishia kabisa nikamuacha tu hapo hanging sijui alirudi kwa gari atajua mwenyewe nilipoingia kwa gari narudi zangu kwa hao akanitumia 5k ati thats your transport and am really sorry for that but i love you so much and i want to marry you. Mi nilimwambia tu thanks for your money but dont call this number again …..yaani nilijiuliza huyu kifupi nitapita nae wapi uuuuiiiii na vile nilikuwa nimejing’aria yangu yote kila ukipita wenye wanakumezea pata ni wengi mi tangu hapo naogopa sana kudate online naona nitapatana na tumbilikimo ingine yaani ikizidi heri sasa tuvideo chat juu pic pekee yake haitoshi huyo jamaa nadhani hakuwa proud na nafsi yake

OP
0
1
2021-01-13 21:31:34

Nilimpata online, he is a bit older than me by 20 yes, he sent me 500 for transport on the fst date…..I went, and I found him tall, older, he treated me nicely and since the he has been taking care of my needs as in rent, food, clothing, and pocket money and everything I need, he is very responsible….we have been together for 1 year now..and still counting

Martha
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left