Confession #621

#621 279

Last year Sept, l lost my mum in unclear ways, my grandad alikua amegawia mum shamba kwao, she had divorced my dad kitambo so the fateful day my called and we talked hakunishow Nimgonjwa in the morning akapatikana amepass, postmortem ikaonyesha she had been brutally murdered, nilizika tu mum, nikakam nai where l stay with her sister, my sister has two boys my age wamehama kwa nyumba wanakaa street, when asked why they don’t give a satsfying answers, recently mmoja alinshow akilala kwa hiyo nyumba anaota mamangu anamunyonga ,alinishtua, but he has never told his mum, last week l visited a friend , wote wakarudi wakalala kwa nyumba,
Now for my uncle who stays in nakuru ananipigia simu ety Kuna kitu inamusumbua na Mimi ndo naezamsaidia tu, am stressed very stressed sijui Cha kufanya, l want to leave my aunt’s place but Sina pa kukaa hi Nairobi na hi lockdown and the realisation that mum may have been killed by her own people.

May 21, 2020 |
1
0
2021-01-13 21:31:26

First question, how old are you? If 18+ yrs old, eda uajiliwe ata kma n kufuga ng’ombe, save money, then eka bisna. I’ve been to a similar situation but mine was worse. But skuiz am okay. Nalipa hou, nahustle kivyangu…. Take heart ua moms spirit is after justice

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:26

Use of Marijuana hushinda pepo ndogo kama hizi God brought it specifically for that purpose, smoke (mali safi)and meditate youll see a way of escape

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:26

Na ukienda nakuru nawewe uuliwe kama your mum,?ujue shinda yao sasa ni hio shamba your late mum alipewa,,so ni vyema uokoe maisha yako kuliko shamba

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:26

Pole Sana, but ile kitu naweza kusoo ukikaa poa hama uko ukae maisha yako pekee,Nuombe mungu akuongoze.

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left