Confession #1216

#1216 135

Leo nashukuru mwazo kwa mungu kutupa hii siku ya Leo naomba hivi wadada hata mume alale nje akirundi anakuhitaji mpe haki yake mukikosana kwa nyumba kichapo cha kuadhibiana kwa kitanda kisiwe hapa ndipo shetani hupata nafasi kubwa kushika ndoa bibilia inasema musinyimane kwa hiyo hata kuwe lipi mukifika hapo muwe makini sana hasira ziwe zimeisha tusimpe shetani nafasi

November 6, 2020 |
0
1
2021-01-13 21:31:48

What about stds , should we talk before sex ama tupeane the tufe

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left