Confession #579

#579 103

Let me also confess today. I have been a silent reader for long. We used to get deliveries for hotels I was working for. Pork ikakuja kidogo than what had been had ordered..so we are there na my Asian boss tuki chukuwa orders, mind you Kuna other suppliers wanaogojea tuchukuwe zao.. Ikabidi amepigia suppliers wa pork simu kumuuliza mbona ametumana order kidogo.. Alikuwa akipiga simu akisema wewe iko leta poko namna gani hii iko kidogo Sana, hii iko mifupa tupu, Me and my 1 gb body.Everyone around us was thinking mimi ndio poko. Jesuu. My effort of telling them anasema ngurue si mimi.. We’re not heard.. Alafu anashinda akirudia.. 😡😡🤯.. Nikatoka hapo. So as I was leaving hakujua nimeenda na wapi na nyama iko wapi so akaanza kuliza hii poko iko wapi🤯🤯..

May 17, 2020 |
2
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left