Confession #417

#417 267

mamangu ako na mme mwngne afta my dad adie, sa tangu akuje nmekaa tofauti , azn nkimwona naanza kulia mwnyewe ama niende nijifungie bedrum. ama kama nakula na nimwone nawaga chakula na nitoke hapo niende nikae mbali, sasa nko na mtoi, na mum akimbeba aende penye uyo mme ako, ama uyo mme ako ntaenda na ninyang’anye mamangu mtoto kwa nguvu, sa nmeomba kwa mda nibadilike nmeshndwa, nyanya ameniadvice imeshndikana, ata nkienda soko na nikutane na yeye ntarud nyumbani kama machozi yanatoka, na wakati mwngne naacha kukula, sasa leo ni siku ya 3 nikijifungia kw bedrum nkikaa tw ivo, yani sitaki nimuone ama niskie sauti ya uyo mme hadi naumwa na kichwa, itakuw n nn? mnisaidie jamani

April 23, 2020 |
4
0
2021-01-13 21:31:18

Life is for the living. Your dad is gone and your mum must live her life. Ondokea mamako Na visirani zako. Unaleta makasiriko as if ni cowife wako. Enda kwako Nani. Nkt

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:18

Upumbavu wa hali ya juu anacho mpa mamako wewe utampa?Mama ana feelings pia.Si ajabu unakula anacholeta mume huyu.Mum hakumua baba elewa kuna kifo.Toka nenda kwa baba mtoto wako.Ama ulimtaka mume huyu akakukata ndio ukamchukia.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:18

U have a child so you are old enough to move the h**l out of your mothers house and go get your own house or get married, tutigithie🙄

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:18

Mjinga wa mwisho… Huyo ni mshikaji wa mama yako… Big shame ata na wewe huko kwenu na mtoto baba wake Yuko wapi??? Enda ukaolewe uwachane na maisha ya mama yako.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:18

uyo mume Ni wa mamako si wako so hiyo kujililisha na kujifungia kwa bedroom you going crazy, and by the way heard a mention of a kid wewe Ni mumama pia si uoleke sasa uachane na mamako,,,

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:18

Funny how you confessors never take a minute to process. It’s obvious that this lady never moved on from the passing on of her dad. She probably still mourns him. This new Mr. Man for her means someone is trying to replace her dad and take his place. Those with close relationships with their dads should be able to understand what I mean.

It’s not for her or her child to leave their home. If this man is even worth his nakedness, he should be the one taking his new wife to his home. How do you start s******g a dead man’s wife on the very same bed and in the very same compound he is buried.

The mum has a right to move on, but the daughter’s concerns should come first.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:18

How old are you? Your mother played her role to take care of you. It’s not obligated that she should stay with you after you become an adult. You can’t expect your mum to take care of you and your children at the same time. Toka haraka ujipe Shugli na si Tafadhali. Let your mother be. She’s doing you a very big favor na huoni……what you are portraying ni madharau of the highest level. Riswa

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left