Confession #3898

#3898 157

Man have hustled this country bana,mimi hakuna kitu sijajaribu bana ,umewahi hustle hadi unapumzika kuhustle??Nakumbuka Aim global wakifika mara ya kwanza kabisa,niliitwa Sokoni plaza ati kuna meeting,mimi nimetoka Njoro nimevaa suti hadi na tie(btw kuna suti ya pesa na suti ya kuhangaika),watu walikua wakiniangalia nikajua nimekill na luku,niligundua jioni nime tuck in koti ya suti huku nyuma kwa boxer siku mzima and nikakuliwa punch bana ,yaani unaibiwa bila kuguzwa roho safi,so ilifika point nikaamua kukua Acrobat,by the way,acrobats hukua ma pro but mimi njaa ilininyorosha hadi nikajua stunts and nikapewa chance nikue acrobat,tungefanya mambo yetu and jioni tunapata 200ksh,tunagawa watu sita,so siku flani kila kitu ilikua poa,wakenya walikua na roho safi na tukapewa dooh,so mimi nilikua narushwa huko juu kama ile maua ya harusi then nashikwa kwa juu,so sijui nini ilifanyika but nilisikia tu nikiwa juu jina “KANJO”,,,,,Nakuru mtu huogopwa ni kanjo,niliachwa kwa hewa juu,umewahi jaribu kukimbia kwa hewa?ata ni kama ni kanjo waliniokota,sasa nilikua mfungwa wa kwanza and ilibidii nizungushwe na makanjo Nakuru mzima tukitafuta wenzangu,from saa saba hadi saa tisa,mimi nilikazwa nikambia kanjo anipee chance nikojoe,kanjo alipoint wall akasema “kojoa huko”,,,nilikojoa na nikarudi nikasikia “Unajua hiyo ni makosa ya pili???”….to cut long stroy short nilishikwa juu ya kukojoa town and nikaitishwa 1500ksh,my acrobatics zikaishia hapo tu

February 18, 2023 |
3
0
2023-02-19 20:41:50

Lol this funny stuff

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left