Confession #1051

#1051 125

Mwanaume kila siku mkikosana tu kidogo anakutusi matusi yote yenye anajua, halafu juu anajua unampenda anaanza kusema sorry, unamsamehe halafu haipiti two days anaanza tena, hata kama makosa ni yake anaongea tu vile anajisikia, hata anakulinganisha na mipango zake za kando ukiwa tu hapo, na hata hajali kama unaumia, advice please.

August 5, 2020 |
3
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left