Confession #433

#433 70

My husband and i are married legally and in a long distance relationship.I dont want to sound petty but advice me accordingly.Ever since i gave birth my hubby alianza tu madharao twa utoto.But ilianza vgenye nilikua na mimba.Akarudiana na ex wake so the ex used to text me and insult me he went ahead akatoa pics zangu kwa timeline yake and istagram account yes i felt bad but nikanyamaza.So the ex told me niulize hubby mbona alitoa picha zangu niliskia vibaya and i let it slide, i gave birth sasa nikiwa 3 weeks a lady sent me pics walikua wameenda road trip the lady was a bar maid ikaenda hivyo wakachana after 3 months vyenye hua mama alikua ananitusi.So last year nov alikuja annual leave but hana time na mtu always kwa simu charting mind you huyo mtu umemgonja for about 7 months alichukua simu yangu i have two fons kadunda na smart phone.He took the kadunda one vyenye alimaliza akafuta inbox messages akasahau kufuta sent messages zake sasa alikua anaplan ku have sex kwa gari mind hana ata gari na si msichana moja about 3 then he has this tendancy ya kupenda bar maid.One week after that incident akachukua my phone the android one anatuma messages i had a true caller so messages zilikua zinaenda hapo.So alikua anajaribu kunifukuza and to annoy me nitoke and he was always in anger.So vyenye alorudisha simu nikapata messages that walikua wanapanga na dem mwingine nikienda akuje kwa my matrimonial bed atamlipa nikienda.but mimi sikua naenda thats where anger yake ilikua inatokea.And other chic hapo alikua amtumie fair akuje nairobi ati they f**k all night and mind you mimi niko hapo siaji mnyima sex 😪😪hata mkihave sex na yeye ataharakisha ndio akimbie kwa simu.When i ask about hao wasichana anasema niko na kelele he wants to cheap openly na asiulizwe na mtu.So this guy alianza kula miraa na his game iko very poor he cant last kwa bed more than one minute and you’re left high and dry sijui ni juu hanipendi maybe kwa wengine he is better.

April 27, 2020 |
2
0
2021-01-13 21:31:19

The guy doesnt love you anymore its a bitter truth. My sister jiongeze.

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left