Confession #4027

#4027 123

My husband earns 18k,every month he pays 8500 rent for his parents,6500 yetu so huwa anabaki na almost 3k😭😭 normally tuna survive na marupurupu bt place Yuko hakuna hata pesa anatoka nayo,nko na watoi wawili nifanye nini koz i can’t work my baby ako 3weeks😭😭is it fair kulipia parents hao ilihali sisi hatuna kitu😭😭he has other siblings bt they don’t care(wazazi hawataki kwenda ushago)aki na mnajua life ya town

May 20, 2023 |
2
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left