Confession #869

#869 189

My husband,anafanya job coast Natumekua Na mvurugano karibu mwezi moja alikua likizo ,shida ni tangu ni jue ana mpango wa kando sina feelings tena Na yeye ,Sasa ananigeuzia ati Mimi ndio Nina mplay ,Sasa nitaishi Aje na mtu sina hamu naye ,Na sina mpango wa kando ni vile nilikua nimemuamini nilishtuka Na feelings zikaenda kabisa.

June 27, 2020 |
1
0
2021-01-13 21:31:37

Forgive en forget coz it will affect ur marriage.

Eddy
0
0
2021-01-13 21:31:37

wacha mchezo we ati sababu ya watoi haha my dear if a man is responsible hata mkiacha bdo atashugulikia responsibility zake. Sema 2 hauko financially stable wacha kuzingizia watoto

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37

my dear kazi ninayo tena nzuri,,siezi muachia so-called mpango wa kando ndoa yangu,,ama watoto wangu waishi maisha bila both parents,,na ni maisha yangu nimeamua ok,,na pia silazima nifanye sex na yeye,, bora watoto wangu wako wako vizuri sitaki kujua mengine,,

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37

Kila mtu ako na weakness yake, ukimwacha hutapata malaika so the best thing ni kumsamehe na kujalibu kurudisha uhusiano mwema, true ukimuonyesha huna feelings ataona nikama una mwanaume mwingine na result itakua kuachana na kids will suffer more especially if they love him

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37

I gonna let the man to continue with his eshipotonuer. Coz soon you will be introduced to ARVS trying to find fathers love to your children leading them to be orphans. To me is not my cup of tea.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37

Si umuache ba c huwezi jiforce kuwa na feelings usipomuacha ile madharau atakufanyia hutaamini. Take a brk kwnza then ask urself the way forward

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37

So unataka aje coz nikama ready uko na jimbu, ni fea unataka tuku save nayo, ama ni nni?

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37

Ona sasa hii masikio ya chura! Ombea mzee wako, pia wewe mwenyewe uambie mungu akusamehe zambi yako, zile umefanya unazijua na zile husijui, sawa nakwambia ndoa yako itasimama kabisa bora tu maombi maombi na imani!

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37

Itabidi umekubali kuwa ilifanyika usamehe,although ni ngumu kusamehe hiyo, uvumilie coz ukitoka kwa ndoa yako, utapatana n mwanaume mwingine na atakua vile vile, so men’s wako hivo macho yao niyakutamani tu

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37

God hates divorce,talk to him and let him tell you why he decided to have mpango wa kando umsamehe naye akubali kuacha ,na feelings zitarudi

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37

Tulisema hakuna kutoka kwako juu ya cheating Kama hakupigi secondly distance relationship nikawaida

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37

Its true my dia we women we go thru alot pia mi nlika napenda my hasband so much but ikafika time akaanza kuniambia ati analala job.kuja kujua analalanga na mwingine nje.fillings zlipotea ata akiniguza kwa bed nlikua naskia kutoroka ju staki ata aniguze yani fillings zangu kwake zmeisha kabisa.so I was thinking of getting out nijitaftie my own house nikae tu na mtoi wangu ju sdhani kama naeza kua na fillings za mwanaume mwingine.plz advice

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37

I can’t stand men with egoistic nature ati polygamous by nature mscheeew!did God create two wires for Adam or was he a she male it’s high time u drop your egos no wonder u find cheating men never end up well coz the Bible says if u make a woman angry u will lack peace n ur prayer won’t b answered namnajiskia mayI angukeni mpasuke

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37

My dear wewe unasema mpango wa kando,,Mimi wangu alimuoa kabisa,,na sababu ya watoi inabidi nivumilie only because of my kids,,they’re my first priority,,mambo ya feelings baadae,,

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37

zingine ni za kusukumwa if u pray that curse inabreak mtu anarudi sawa

jk
0
0
2021-01-13 21:31:37

Especially if you have children. Just forgive him

maggy
0
0
2021-01-13 21:31:37

mwache ama alikufungia kwa nyumba

KIp
0
0
2021-01-13 21:31:37

@KIp tha problem is watoto like to me wanapenda baba yao sana hata kwetu cwezi maliza two weeks kama hawajaulizia dad yao ama wanakataa kula huwa nachapa but imeshindikana na sina moyo wa kuachia mtu watoto wangu ,na hubidi tu nivumilie

OP
0
0
2021-01-13 21:31:37

Kweli inauma wakati watoto wamefahamu baba yao, juu hata ukiamua kumwacha watoii watakusumbua wakienda kumuulizia Kila mara na hutapata amani akili mwako. So my advice is you look for a day when your hubby has good moods then sit down, talk and solve the problem together Kuna mahali mlikosania na hajawaipata kukwambia coz every pblm has it cause, and there’s no mistakes which has no solution/forgiveness. And if you have been over demanding, somehow rude n arrogant please stop and start being nice to him, also submissive. Mens are like children they need hearing, love, caring& tenderness, as well as peace of mind, and if you want to win take him like you elderly son. Atawiz thank me later

KIp
0
0
2021-01-13 21:31:37

Also don’t forget to seek for God intervention hence definitely he will come to change.

KIp
0
0
2021-01-13 21:31:37

forgive him.never focus on those things

KIp
0
0
2021-01-13 21:31:37

…..That is what you will hear many people telling you here! Ati forgive him. But it doesnt help

KIp
0
0
2021-01-13 21:31:37

Hes not alone in mpango wa kando mpende tuu na mtunze watoto

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37

Kama aliomba msamaha,fikiria yale mazuri,amekufanyia feeling zitarudi pole pole,

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37

Mpende Kama Solomon ama Salah alivyopenda Abraham la sivyo utakufa stress bure

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37

Mpende Kama Solomon ama Salah alivyopenda Abraham la sivyo utakufa stress bure

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:37

hahaha be serious God hates divorce BT still bible imesema the only time u are allowed divorce ur spouse has committed adultery. So y are u misleading her to pray for an adultrer

Katoto
0
0
2021-01-13 21:31:37

Huna Feelingz Nayeye Bt Unampendaa… Coz Kama Kweli Ni Your Husband Then Sit Down N Talk About Life N Your Kids Mki Seperate Itakuaje?

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left