Confession #756

#756 294

Napenda mtu lakini hanipendi, kwa posts zangu yeye hucomment tu “I like it,napita tu,nimekuona” and so on but for other girls that are friends on facebook utaona ame comment “u look smart sweetie”nikijaribu kuuliza anasema there is nothing behind it. He says ni cousin yake. Siku ingine huyo cousin akamtumia nude pics tena akanitumia kunionyesha. Jealousy is killing me.

June 5, 2020 |
2
0
2021-01-13 21:31:33

Asiye kupenda achana nayee×2,I hp mwenye alitoa hiyo song hakukosea mh friend

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:33

I think Huyo anakucheza bt juz give him some more time maybe he’ll come to realize about his mistakes

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:33

Don’t let him be ur friend on social media it hurts more, then stop calling or texting him.From there live ur life n don’t forget to pray God for a good man.

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:33

🙄🙄🙄🙄uko na notes za conference soma utapata tulisema asiekupenda unaachana nae na usijaribu kujikwamilia kwa mtu

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:33

Ka anashindwa ñà kujiassociate ñà wewe…… Then yy create so much interest on him in the name of luv!!! Kanyanga kubwakubwa ñà umwachie hao wenye wanam bamba!!!

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:33

But y are u stressing yohself?hiyo ni picha anaongea nayo..we uko naye physically…ignore it na umtreat tu poa nothing gona separate yu

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left