Confession #1592

#1592 151

Niko in my early 20s. Confused as h**l, nadhani life ndio imeanza kujionyesha kwangu. My peers wanapata watoto, wengine wanaolewa, wengine wanagraduate, wengine wako job, wengine walevi. Enyewe hakuna mwaks kwa hii life. Let me do me, niishi maisha yangu ju nitakufa peke yangu. What the h**l is this

February 21, 2021 |
2
0
2021-02-21 12:54:40

Kijana sa ii ndio unaanza maisha,concertrate on what makes you you ii stori ngine achana nayo ukijijenga hawa mayengs watakufuata tu sana

Anonymous
0
1
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left