Confession #897

#897 296

Niko na jamaa tunadete na yeye now is 3monnths tangu tujuane, soo tulikua tumepanga kuoana akakuja kuniambia anaona arudishe wife wake wali divorce one year ago nikamwambia ni Sawa now is one month ago hatukua tunaongeleshana Leo tume meet na yeye ananiambia ako ready kukaa na Mimi niache kazi niende SAA nimemuuliza story na wife ananiambia hataki hio so swali langu ni jee anaeza kua ananichezea ama ako na watoi walienda na mama Yao halafu pia Mimi Niko na watoto wako home na my mom

July 6, 2020 |
1
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left