Confession #922

#922 158

Niko Nairobi na wife wangu ambaye tumezaa na yy watoto wawili alikuwa nyumbani Busia…Sasa vile lock down ilipotolewa, nikataka aje Nairobi juu nalimumiss sana.tukapatana na rafiki yangu wa kitambo ambaye ni dereva wa masafa marefu,huyu nikawa nimemtrust ili akienda malaba on his way back akuje na bb yangu Hadi Nairobi. Kama rafiki nikampa number ya bb yangu and I alerted her that sb will pick her so there wasn’t any need for “kutuma fare”. Things went on as planned, the driver and my wife met en route and they called me confirming that they were on route towards Nairobi. I was definitely happy and anticipated that they arrive on time. No sooner had they called me telling they had reached nakuru than my wife’s phone went off. I called the driver who started to be arrogant na akasema kama bb ni wangu niende police station na marriage certificate of which sina….manze to cut the story short, huyo ngulusumu ako na bb yangu na sijui wako wapi…

July 11, 2020 |
1
3
2021-01-13 21:31:39

Huyo mkeo amemtobolea huyo swahibuyo Siri zote including kuwa hujapeleka mahari kwao.jamaa akacapitalize kwa hzo weaknesses za kwako akamdanganya.ulikosea pakubwa kwa kumtrust hyo jamaa na mkeo.you can’t trust anyone with your fame including your dad,bro or cuzo.i just don’t know akishachokwa atakujaje kwako?na utampokea vipi?kama wife wako ama aliyekuwa mkeo.pole kaka.yangu ni kukuachia MolaHuyo mkeo amemtobolea huyo swahibuyo Siri zote including kuwa hujapeleka mahari kwao.jamaa akacapitalize kwa hzo weaknesses za kwako akamdanganya.ulikosea pakubwa kwa kumtrust hyo jamaa na mkeo.you can’t trust anyone with your fame including your dad,bro or cuzo.i just don’t know akishachokwa atakujaje kwako?na utampokea vipi?kama wife wako ama aliyekuwa mkeo.pole kaka.yangu ni kukuachia Mola

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:39

Broo… Don’t stress yourself OK? Nitakupa ushauri na niko sure utakusaidia, please broo acha kuwacall kwa fon, endelea na shuguli ya kazi huku ukimwomba mungu, siku moja uyo mwanamke ataregret end she will come on her knees begging you, usijioverstress broo

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:39

😅😅😅😅pole, can feel that anxiety and loss of words….anyway, if only you could ave sent her fare to travel by public means it couldn’t ave resulted to this… Hizo lorry zimeandikwa no an authorized passengers 🤣🤣🤣🤣🤣

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:39

Ungekuwa mzuri uyo bibi angechotwa ivo kama maji kwa mtungi…unaezaje eka mtu kwa barabara bila hata Bob..unategemea mwaume mwenzako..na sahiyo ako na watoto kwanza wawili….uliyataka yote…pambana na hali yako nani…vasacha mikono gamu mudakha mutio

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:39

Yaitwa goal goal…boss I hate how u can trust someone Tena dereva na hiyo joto yote…kwanza Bibi atashikwa na corona….kila mtu ako na dry spell ata Bibi yako wacheza na miezi mitatu….bro I feel for you but always use ur brains well before u make a move

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:39

Ona maneno ya rafiki Sasa na kutotaka kulipa fare gharama ni mzuri ungetuma fare but maji yakimwagika hayasoleki shida ni watoi wako sawa? Na mama akirudi jaribu VCT Kwanza coz automatically wenye wamajifunika na blanketi moja munimalizie hiyo……..

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:39

Come to police station record a statement come with the two phone numbers so that they can trucked easily that’s a simple case man ama just inbox me

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:39

Kuna wengi wanatafuta tu mabwana..someone not meant for you will be of that calibar..Just convince youself and dont mourn over a woman..Relax ua mind and think over the future of ua children .Just hook up..dawa ya moto ni moto

Anonymous
0
0
2021-01-13 21:31:39

Hahaha how can y sent a hyena to go ad bring a goat to you?????😭😭😭😭hata wewe hukuwa serious.be patient she will comeback after finishing their business.

Anonymous
0
0
Your Comment has been sent
Your Comment is too short
2000 characters left